Kutokwa uchafu mweupe sehemu za siri

Kutokwa uchafu mweupe sehemu za siri

Fidelis ucjal mm namshukuru MUNGU nilishapona kitambo saaana ila ucdhani kwamba ni mm peke yng nawezakuwa nasumbuliwa na tatizo hilo bali ni wengi saaana hata wewe labda una tatizo km hilo lkn hujui kwahiyo kupitia jukwaa hili wengi wamepona

Mungu ashukuriwe kwa kupona kwako Utukufu urudi kwake
 
Fidelis ucjal mm namshukuru MUNGU nilishapona kitambo saaana ila ucdhani kwamba ni mm peke yng nawezakuwa nasumbuliwa na tatizo hilo bali ni wengi saaana hata wewe labda una tatizo km hilo lkn hujui kwahiyo kupitia jukwaa hili wengi wamepona
Habari, hiyo dawa ilikusaidia? Mtoto wangu wa kike ana miezi miwili anasumbuliwa na tatizo hilo bila kupona. Nisaidie name ulifanya vipi ukapona. Shukrani zangu za dhati
 
Mimi nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye muwasho ni mwaka wa 12 sasa toka tatizo hili linipate nimesha hudhuria hosptal, nimetumia dawa nying sana sindano ndo usiseme lakini huo uchafu bado unatoka japokuwa ulikuwa mzito sana lakini sasa umekuwa mwepesi kama maziwa fresh vile na siwashwi tena ila tatizo ni huo uchafu unaotoka kwa yeyote anayejua tima tafadhali anijuze kwasababu mapajani nina rangi nyeusi mpaka imejichora kabisa inajionyesha ilikoanzi mpaka inakoishia.


*kwanza nikupongeze kwa kufunguka hapa. wanawake wengi wanamatatizo haya na wamekaa kimya ndani mwao wanaugulia ndani,hii ni shida kwa wanawake ni wengi si wewe tuu., thanks kwa kufunguka coz hata wake zetu/wachumba watatoa maoni yao hapa. shida nayoiona hapa nio wengi -kutokufahamu, lakini wao wanajitia kufahamu,ukimwelekeza anakuambia -"najua" na hawafanyi "culture" kujua hasa tatizo liko wap? au limeanzia wap? ndani au nje? kuna matatizo mengine yanaanzia katika damu-ndani ya mwili,lazima utibu ndani kwanza kabla ya nje. hali husababishwa na yafuatayo

*kuvaa nguo za ndani chafu
*kutokujisafisha baada kumaliza tendo la ndoa
*u.t.i
*kuchanganya mapenzi mojakwamoja kwa mwanaume kutoka nyuma(sodoma) kwenda mbele-na hii ndo mbaya sana.bila kinga au kubadilisha kinga. na uchafu wote wa haja kubwa kuuleta mbele(ukeni).
*magonjwa ya zinaa ya mda mrefu
*kutokujisafisha baada ya hedhi/au utoaji mimba/kujifungua
*magonjwa mengine ya kuridhi/au kuambukizwa au yaliyoingia kutokana kujisafisha -aidha maji hayakuwa salama
*kutumia dawa za pharmacy bila ushauri wa dk. kuongeza sumu katika mwili

*kabla ya kukimbilia pharmacy kwa akina dada kununua cream onana na dk. akufanyie culture- ujue tatizo ni nini wengi mnaulizana na mashosti eti nitumie nn? kwann usiende kwa dk? "culture" ni gharama lakini ni rahisi zaidi ya kutokupata watoto,zaidi ya cancer ya kizazi,zaidi ya kifo.

*nije kwa tatizo lako hapo juu. sababu ni ushauri nitatoe ili tusaidiane. mama watoto, aliwahi kuwa na shida kama yako ilikuwa tukimaliza tuu tendo la ndoa kunatoka uchafu mweupe,unaoendana na maumivu makali wakati wa tendo la ndoa, baadae fungus zilizidi hadi zikamletea michirizi na kukawa kweusi sana.na hali ikawa mbaya sana. lakini usikate tamaa

*nilikosa amani sana-maana yule ndo mama wa watoto, hadi nilipokutana na natural antibiotic yenyewe inasafisha sumu ndani ya mwili-ziko mbili nakumbuka wife alitumia,na sabuni inayotokana na asali ya nyuki wadogo,na tube mbili zinazotokana na mimea ya asili unachanganya na kupaka. alitumia kwa mda wa siku 30. tukajua hatapona maana hata dalili ya kupona hatukuona. lakini wiki ya tano mambo yalianza badilika kutoka uchafu na maumivu vilikata, baadae uweusi na michirizi ya fungus kidogo kidogo viliisha.alituambia izo sio chemicals na mimea ya asali ivo inafanya kazi taratibu. na kweli alipona wife mpaka leo.

*yule bwana alietupatia nilimsave dawa jina simkumbuki-0765 377 506- mcheki bado unahitaji msaada anaweza kukusaidia.pole sana.

***jioni njema***
 
Pole sana dada,
Kwa mtazamo wangu:smtym hizi fungus wanatuambukiza wanaume (wapenzi )wetu bila kujua,kwa nature ya maumbile yao ni ngumu kuumia,ila sisi sasa yeast ndo makazi na wana'develop haraka,12 yrs is too long jamani ,mwambie mumeo naye aende hospitali atibu fungus,
NA WANAUME WOTE MJUE HILI,na nature ya uchafu ya BAADHI YENU inatuumiza sisi
MATUMIZI YA CONDOMS (kwangu mimi ni shiiida),nkitumia tu haipiti siku inabidi niwahi kwa doctor for relief,
also,DONT USE ANY SOAP KUOSHA K,kuwa consistent na maji tu,mengi na osha na vidole vyako,
mi nishawahi pata hizo white discharge nashukuru Mungu inapona fasta tu nkienda kwa doc,
Otherwise NJIA NATURAL kuondoa muwasho ni juice ya limao,unanawia kwny K(hii aliniambia gynaecologist kabisa),it works
 
Hiyo ni fungus ungetafuta zile dawa za kuingizaa ndani ya k yako
Halaf usinawie sabuni maji ya uvuguvugu yanatosha hakikisha unasafisha ndani ya k yako na kidole ili uchafu wote utokee
 
yaweza kuwa ni fangasi hizo au hujisafishi vizuri, hakikisha unanawa na maji ya uvuguvugu na antibacteria, ingiza kidole usafishe mara mbili kwa siku

Very very wrong my dear, kutumia detol au ant- bacterial soaps kwenye sehemu za uzazi ni kosa kubwa mno. Viuongo vya uzazi vina yeast na bacteria ambayo ni useful kwenye sehemu hizo ila wasizidi kama ilivyo kwa baadhi ya minyoo tumboni,
Matumizi ya detol au anti- bacteria soaps yanaangamiza bacteria wote ambayo huwa uwepo wao huchangiwa na uwepo wa yeast as they feed each other, meaning Kuna bacteria wanaokula yeast(fangasi) na Kuna yeast wanaokula bacteria. So ni rahisi mno kuangamiza bacteria kuliko fangasi unapotumia sabuni za detol or antibacterial soaps kwenye viungo vya uzazi hivyo kufanya fangasi kujiproduce kwa wingi kwa kuukosa upinzani wa bacteria.
Kikubwa ni kutumia sabuni za kawaida zisizo na antibacterial chemicals otherwise tatizo Hilo litadumu milele.
 
Pole sana Bibie Jaribu dawa yangu hii Tafadhali ikikuponyesha uje tena hapa uniambie ili na

watu wengine wapate faida zaidi. Fanya hivi :


chukua msonobari na Dawa moja inaitwa kwa jina hili Uwatu na ubani mweupe twanga

chemsha unywe na nusu weka katika pamba na uweke sehem ya siri


kiasi cha nusu saa kisha toa utahisi kama ina vuta usikhofu na utatokwa na majimaji mengi

mwanzoni mwa matumizi ya


dawa hiyo usikhofu baada ya siku 7 utakua safi kwa ni hizo ni fangas za ndani na utakua na

ladha tamu kwa mumeo



fanya hio upate raha insha allah.

MzizIMkavu mm pia nna tatzo kama hlo, Mwanaume huwa vinatokea vpele vnavyowasha kwnye uume wangu...Msaada tafadhali
 
MzizIMkavu mm pia nna tatzo kama hlo, Mwanaume huwa vinatokea vpele vnavyowasha kwnye uume wangu...Msaada tafadhali
Nenda Hospitali haraka kapime ni dalili ya ugonjwa wa zinaa huo katumie dawa hospitali ikishindikana hujapona njoo hapa unipe feedback nitajuwa nikupe dawa gani. Nenda kachunguze una maradhi gani hayo?
 
Pole sana Bibie Jaribu dawa yangu hii Tafadhali ikikuponyesha uje tena hapa uniambie ili na

watu wengine wapate faida zaidi. Fanya hivi :


chukua msonobari na Dawa moja inaitwa kwa jina hili Uwatu na ubani mweupe twanga

chemsha unywe na nusu weka katika pamba na uweke sehem ya siri


kiasi cha nusu saa kisha toa utahisi kama ina vuta usikhofu na utatokwa na majimaji mengi

mwanzoni mwa matumizi ya


dawa hiyo usikhofu baada ya siku 7 utakua safi kwa ni hizo ni fangas za ndani na utakua na

ladha tamu kwa mumeo



fanya hio upate raha insha allah.

Samahan msonobari ndio nn??
 
kuna dawa inaitwa FeriCare. nitafute nikupatie. am sure itakusaidia coz imewasaidia wengi. 0759 077008
 
Back
Top Bottom