Hata Azam angecheza na hiyo team ya Djibout mbona angeiogesha magoli mengi
Tazama viwango vya Djibout Fifa ulinganishe na Tz utajua
Yanga mkiigifunga Al Mereikh na mkaingia makundi hapo mkijisifu mpo vizuri kuliko Azam mtaeleweka, ila sio kuwafunga hao wa Djibout