Kutolewa kwa Azam kwenye Mashindano ya Caf ni ujumbe tosha

Kutolewa kwa Azam kwenye Mashindano ya Caf ni ujumbe tosha

Kwani Azzam imetolewa kwenye kombe gani?
Hata Azam angecheza na hiyo team ya Djibout mbona angeiogesha magoli mengi
Tazama viwango vya Djibout Fifa ulinganishe na Tz utajua
Yanga mkiigifunga Al Mereikh na mkaingia makundi hapo mkijisifu mpo vizuri kuliko Azam mtaeleweka, ila sio kuwafunga hao wa Djibout
 
Hizi PHD siku zinatolewa tu team mechi zote umecheza Tanzania bado unajisifia wale si wahadzabe hawana hata uwanja.
 
Back
Top Bottom