Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Article uliyoweka inasema sababu za madhara yanayotokana na milk ni hizi zifuatazo

"The most common predisposing factors for potential milk-borne disease outbreaks were
1. consumption of contaminated raw milk,
2. inadequate cold storage along the milk value chain,
3. poor milk handling practices,
4. and lack of awareness of the health risks of consuming unpasteurized milk."

Kwa kuangalia hizo sababu hata maji ni pure lakini yakiwa contaminated ndiyo yanakua na madhara, sasa huoni kama umeyazulia Maziwa uongo?
Poor Milk handling practices, hata chakula chako usipo ki handle vizuri kitakuletea madhara, tusiende mbali nadhani hata article haikuungi mkono.



Lakini pia,...Kwanini uamini kwenye articles wakati hata wewe unaweza ukafanya research juu ya hilo,

Just tafuta watu 10 tu kwa uchache wanaotumia Maziwa, kisha waulize kama wame face any side effects kutokana na kunywa Maziwa,

Ukipata hata mmoja kwenye list hiyo nitaamini hiyo article imesema kweli,..
 
Wapi nimelibadili sasa?

Maana hiyo Aya Ina state hivi ⤵️
An-Nahl 16:66
And indeed, for you in grazing livestock is a lesson. We give you drink from what is in their bellies - between excretion and blood - pure milk, palatable to drinkers.
Allah anazingua sana

Koran 16:66. Na hakika katika nyama hoa nyinyi mna mazingatio. Tunakunywesheni katika vile viliomo matumboni mwao, vikatoka baina ya mavi na damu, maziwa safi mazuri kwa wanywao
 
Sitiwi upofi na negativity yoyote, ninachokikataa ni kujaribu kupindisha maandiko yenye makosa ya kisayansi yaonekane kuwa yako sahihi huku sio kweli.

Mountains are not pegs that prevent the earth from shaking or experiencing earthquakes (maelezo yako yanajaribu kutetea Quran sio kutoa actual scientific explanation)

UHALISIA WA KIJIOGRAFIA HUU HAPA

"The mountains can reduce the power of quakes but also send them to certain places, making them more powerful than expected".

Hii statement apa juu maana yake milima inaweza kupunguza makali ya seismic waves sehemu fulani na ku redirect hizo waves kupeleka sehemu nyingine ambako tetemeko litakuwa kubwa zaidi huko ambako milima imepeleka waves.

Halafu process ya formation ya milima inatokea kwenye tectonic plate boundaries, hii process yenyewe ina trigger seismic waves na kuleta tetemeko (earthquake). Kwa maana utengenezwaji tu wa milima unaleta earthquake.

Haya nambie tena ni kweli milima inazuia earthquake au the earth from shaking?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Heheeee sasa usiishie kusoma nilichokuletea. Nenda kaniletee hapa source za bacterial contamination kwenye milk. Utakuta Moja ya sources ni "cow udders" . Udders ndio zimebeba mammary glands kwenye n'gombe Kwa hiyo sihitaji contamination yoyote ya nje n'gombe mwenyewe anaweza kutoa maziwa yenye contamination ya bacteria.

Unahisi article hainisapoti kwasababu umesoma hio tu niliyokuletea

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hebu ongelea sababu ya nne na ya kwanza kidogo tuone.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wananishangaza sana.

Wanasema Hakuna Mungu, halafu wanasema ila flani.

Kwanini wasiseme Kuna Mungu aitwaye flani.

Wanamkanusha halafu wanasema yupo.

Kweli Dini ni kuchanganyikiwa pengine.
 
Nitafte watu kumi niwaulize!!! Hii kwako ndio research? Wangapi wanaenda hospitali wanakutwa na infection za Brucella, Salmonella daktari anamuuliza kama anatumia maziwa mabichi?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ni ujinga wa kiwango cha lami...
 
Okay, si umesema Mountains doesn't give stability to the earth kama isemavyo Qur'an,...Have you ever assumed how the Earth's crust would have been in absence of the mountains????! Without mountains, the Earth's crust and its associated systems would experience significant disruptions, potentially leading to a less stable and less habitable planet!!!

Try reading these insights below 👇🏼,.... Usipoelewa na hapa basi hutokuja kuelewa tena:-

If there were no mountains on Earth's crust, it would have significant consequences for the stability of the Earth's crust and geological processes. Here are some potential side effects:

1. Increased Seismic Activity: Mountains play a crucial role in absorbing and redistributing tectonic forces. Without mountains, these forces would accumulate without a natural barrier to absorb them, leading to more frequent and potentially more destructive earthquakes.

2. Lack of Stress Redistribution: Mountains help redistribute stress in the Earth's crust, allowing for gradual deformation and stress release. Without mountains, stress in the crust would concentrate along fault lines, increasing the likelihood of sudden and intense earthquakes.

3. Erosion and Sediment Accumulation: Mountains are sites of intense weathering and erosion. Their absence would lead to a lack of sediment transport and deposition in lowland areas. This could disrupt natural processes, affect ecosystems, and lead to changes in sedimentary rock formation.

4. Altered Climate Patterns: Mountains influence climate by affecting air circulation patterns, precipitation, and temperature. Without mountains, these climate-regulating mechanisms would be disrupted, potentially leading to altered climate patterns, including more extreme weather conditions.

5. Impact on Biodiversity: Mountain ecosystems are unique and support diverse flora and fauna. The absence of mountains could result in the loss of many specialized species and habitats that rely on mountainous terrain.

6. Plate Tectonics and Continental Drift: Mountains are closely tied to plate tectonics and the movement of continents. Without mountains, the geological processes related to plate interactions and continental drift could be altered, affecting the long-term evolution of Earth's surface.

7. Oceanic Circulation: Mountains influence oceanic circulation patterns by affecting the distribution of warm and cold water masses. Their absence could disrupt ocean currents, potentially impacting climate systems and marine ecosystems.

kwa ufupi ni kwamba, the presence of mountains on Earth's crust plays a crucial role in stabilizing the planet's geological processes, including the mitigation of seismic activity, stress redistribution, and climate regulation.



NB:- Hakuna kazi ngumu kama ku argue against the truth!
 
Mkuu lakini ikumbukwe kwamba PLATE TECTONIC pia ni THEORY kama ile ya JIG SAW FIT etc, kwanini uamin humo directly ?? Ubaya kila THEORY ina weekness.
 
Hahh tatizo ujanja mwingi lakini unarudi pale pale, sayansi inasema only infected Cow's udder can lead to contamination as it's leading to mastitis, which is an inflammation of the udder tissue.

So, kwa mantiki hiyo,.... A healthy Cow's udder haiwezi kusababisha contamination kama unavyodai Mkuu.
 
Sasa nikuulize mkuu kama inawezekana kuwa infection kwenye cows udder ikavuruga maziwa bado ni sahihi kusema maziwa ni pure?

Kwasababu hayo matatizo ya n'gombe ni uumbaji wa Allah kwanini atudanganye kwamba maziwa ni completely pure, kulikuwa na tatizo gani akisema infected udder inaweza kuwaletea shida yeye si aliyajua haya kabla ya wanasayansi?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Well, bila hofu ya kitu fulani inaweza vp mahal pawe na AMANI?
 
Nitafte watu kumi niwaulize!!! Hii kwako ndio research? Wangapi wanaenda hospitali wanakutwa na infection za Brucella, Salmonella daktari anamuuliza kama anatumia maziwa mabichi?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Yap, hiyo pia ni research... Na itakupa majibu vizuri tu.

Au kurahisisha tengeneza Questionnnaire kupitia google form au hata KoboToolbox,.. watumie link watu ukiwauliza kama wamepata madhara ya kuharisha na kuumwa tumbo as a result of consuming raw milk., Ukishapata majibu fanya analysis zako uone kama zina correspond na madai yako juu ya raw milk.

Mbona ni rahisi tu, tatizo Waafrika tunapenda kutafuniwa... tufanye utafiti wenyewe.
 
Mkuu lakini ikumbukwe kwamba PLATE TECTONIC pia ni THEORY kama ile ya JIG SAW FIT etc, kwanini uamin humo directly ?? Ubaya kila THEORY ina weekness.
Soma maana ya theory kwanza mkuu

Plate tectonics ni theory ndio lakini pamoja na kwamba ni theory kwani imetudanganya kuhusu movement ya rigid sections of the lithosphere (plate movement)?


Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Still Yupo sahihi kusema milk ni pure drink. Kwasababu kiuhalisia ipo hivyo endapo kukiwa hakuna contamination yoyote.

Na kuuliza hivyo ni sawa na kusema kwanini Allah anasema katupa macho yenye kuona na wakati kuna vipofu?

Ambapo ipo wazi, kwamba kiuhalisia macho yapo kwa ajili ya kuona.

Au ulitaka aelezee every details,?kuna room ya kujiongeza Kwa kuwa tumepewa akili.

Kwa mfano kuhusu Bacteria na viruses wengine Allah hakutaka kuelezea sana alisema tu kwamba :-
"Kuna viumbe ambavyo tunaviona na ambavyo hatuvioni kwa macho yetu"

Huenda zamani watu walishindwa kujua ni viumbe gani hivyo ambavyo hatuvioni kwa macho, lakini currently kutokana na teknolojia tiny creatures kama Bacteria tunaweza kuwaona kwa kutumia devices kama Microscope.
Japo still naamini vipo viumbe vingine vidogo zaidi ambavyo hatuwezi kuviona hata kwa microscope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…