Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Allah anajua hata kile ambacho hakipo kikiwepo kingekuwaje.

Ana njia nyingi za kuwazindua watu bali hata angetaka wote tumuamini angefanya hivyo, ila ameweka utaratibu huu ili tufikie lengo la kuwepo duniani.
Thus, why
 
MUNGU ni mwingi wa hekima na busara ndani yake, ukimuamini atakubariki na hana shida kama ambavyo humuamini pia hana shida.

Hatma yako ipo kwake na utarejea mavumbini huko ndipo kwenye hukumu ya kweli.

Mchele utapikwa wali na masuke yatachomwa moto.
 
Kwa namna inayoweza kupimika katika mantiki
Bado tunarudi palepale, wewe unataka nkupe ushahidi wa kukupa sababu za uwepo wake kupitia njia ya muonekano wa kushikika na kugusika, kitu ambcho hapo awali nilikuambia yakuwa mimi hyo ACCESS sina. na nilitoa maelzo hapo awali rejea previous comments.
 
Ebu kwanza nioneshe mahala nimedai uthibitisho wa kimuonekano wa kushikika?
 
Kwa mujibu wa maelezo yake, ushahidi upo huko. Unaonaje ukasome kwanza ndipo uje mkuu, nasi tutakupokea.
 
Ebu kwanza nioneshe mahala nimedai uthibitisho wa kimuonekano wa kushikika?
Kama hoja huziamini, maandiko huyaamini, mifano hai ya mabaki huyaamini. Ulitaka tukuaminishie na nini ??
 
Kwanini Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anataka kuaminiwa tu siyo kujulikana kwa uasahihi?

Unaweza thibitisha Mungu yupo!?
 
Ni aibu kwa mtu wa karne hii kupambania kutetea uongo.

Mwandishi wa quran hakuzungumzia tetemeko. Alimaanisha kuyumba kama kuyumba

Ukisoma kwa kumuelewa ndiyo tutaelewana.

Mwandishi huyo aliamini dunia ni flat,
Na nadhani alidhani kuwa dunia ni kama meza tu na akadai kwamba milima ni nguzo za kushikilia dunia isiyumbe yumbe,

Ukweli ni kwamba kuyumba yumba huko alikokumaanisha ndugu mwandishi haikuwa tetemeko la ardhi kama unavyotaka kutetea hapa!!

Kwasababu kama kuyumba huko alimaanisha ni tetemeko ntakuuliza kama ndugu Allah (Mohammed) alitandaza ardhi na akaweka milima ili dunia isiyumbe, mbona sasa dunia inayumba (Tetemeko) ?
 
Sawa tumekubali kwamba uwepo wa milima unasaidia katika kustabilize Dunia,

Kama Allah aliweka milima ili dunia isiyumbishwe, kwanini sasa bado dunia inayumbishwa?

Je nguzo zake alishindwa kuziweka imara zaidi ili dunia isiyumbe kabisa?

Mwandishi alimaanisha kuyumba kama kuyumba tu,
wala hakumaanisha tetemeko,

Tetemeko siyo kuyumba
 
Viongozi wa hizo Dini na waumini Wao, wanalijiua Hilo , Ila wanajitoa ufahamu, eti ilikuwa ni Kazi ya kidini , dini Gani inahalalisha mauwaji Kwa binadamu wenzake
Zote
Nimesoma replies za hii thread, na nmeona kuna watu wanamuamini Mungu lakini hawawezi kutetea huyo Mungu bila mihemko na wasioamini hawawezi toa hoja juu ya astheism.
Waungwana, kama humuamini Mungu ingia youtube tafuta clips za astheism na astheist utasikia hoja zao na kama unamuamini Mungu ushauri wangu dont go search about hoja za astheism and also I cant teach you how you are going to be able to competitively stand for your God against non believer and astheists since He depends on you to reveal him.
 
Kama ushahidi wa uwepo wa Mungu unao, utoe
 
Ueleze Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Ana muonekano upi?

Na ulifahamu vipi yeye ni Mungu.

Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
Ukiachaa na Torat, Zaburi, Injil, Qur'an.... Kuna ushahidi mwingne juu ya uwepo wa MUNGU??
 
Nimegundua kuwa haya mabishano ya wakana Mungu ni kupoteza muda kuwashawishi juu ya uwepo wa Mungu....

Ni mpaka Mungu mwenyezi ajifunue kwao ndipo wataamini. Otherwise ni mabishano yasiyo na Mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…