True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
- Thread starter
- #281
Siamini kama hlo haljui, ila ni kiburi tu ??Nakukumbusha tena, Kuna swali hukujibu huko nyuma.
Anaendesha haya mambo, kuumba, kutoa uhai na mengine mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini kama hlo haljui, ila ni kiburi tu ??Nakukumbusha tena, Kuna swali hukujibu huko nyuma.
Anaendesha haya mambo, kuumba, kutoa uhai na mengine mengi.
Thus, whyAllah anajua hata kile ambacho hakipo kikiwepo kingekuwaje.
Ana njia nyingi za kuwazindua watu bali hata angetaka wote tumuamini angefanya hivyo, ila ameweka utaratibu huu ili tufikie lengo la kuwepo duniani.
Ulitaka nikuthibitishieje mkuu ??Kwa vile huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Zaidi ya mawazo na imani za kufikirika tu, Imagination just an illusion
MUNGU ni mwingi wa hekima na busara ndani yake, ukimuamini atakubariki na hana shida kama ambavyo humuamini pia hana shida.Imani haina kanuni.
Unaweza kuamini hata mende tu kuwa inawaka mwamga au ndiyo iliumba ulimwengu
Huwa nashangaa sana napoona mtu anaamini katika Mungu!!
Huwa naskitika napoona mtu mmoja akimshangaa au kumkosoa mtu wa imani nyingine (imani tofauti).
Kwasababu wote hawa ni wavunjaji wa kanuni.
Wote hawalazimiki kufuata kanuni.
Wewe uko katika mtazamo wa kwamba watu wote lazima waamini katika Mungu.
Japo ukweli ni kwamba M{i}ungu [hi]huyo ha{i}yupo.
Unawezaje kutaka watu waamini tu hata vya uongo!?
Self delusion is a gift of natural selection.
Bado tunarudi palepale, wewe unataka nkupe ushahidi wa kukupa sababu za uwepo wake kupitia njia ya muonekano wa kushikika na kugusika, kitu ambcho hapo awali nilikuambia yakuwa mimi hyo ACCESS sina. na nilitoa maelzo hapo awali rejea previous comments.Kwa namna inayoweza kupimika katika mantiki
Tutakubariana na wewe ukileta ushahidi wenye hoja thabiti mkuu.Vitabu vya dini havithibitishi hata kwa 1% uwepo wa Mungu.
Ebu kwanza nioneshe mahala nimedai uthibitisho wa kimuonekano wa kushikika?Bado tunarudi palepale, wewe unataka nkupe ushahidi wa kukupa sababu za uwepo wake kupitia njia ya muonekano wa kushikika na kugusika, kitu ambcho hapo awali nilikuambia yakuwa mimi hyo ACCESS sina. na nilitoa maelzo hapo awali rejea previous comments.
Kwa mujibu wa maelezo yake, ushahidi upo huko. Unaonaje ukasome kwanza ndipo uje mkuu, nasi tutakupokea.Sijasoma! Ila najua haiwezi kuthibitisha uwepo wa Mungu. Kama unalielewa neno "thibitisha" utajua namaanisha nini.
Hakuna ushahidi wa kuweza kuthibitisha uwepo wa Mungu. Hata mimi siwezi kuthibitisha kama kweli Mungu hayupo. Tofauti ni kwamba wewe unaishi kwa imani wakati mimi nimekosa imani kwa mambo ambayo hayana ushahidi.
Kabla ya kuuliza kama naleta ujuaji inabidi uwe open-minded kujadili mada kama hizi. Kila mtu ana mtazamo wake linapokuja suala la uwezekano wa kuwepo na Mungu.
Kama hoja huziamini, maandiko huyaamini, mifano hai ya mabaki huyaamini. Ulitaka tukuaminishie na nini ??Ebu kwanza nioneshe mahala nimedai uthibitisho wa kimuonekano wa kushikika?
Ueleze Mungu huyo yupo kwa namna gani?Ulitaka nikuthibitishieje mkuu ??
You are not mature enough to handle this debateKama hoja huziamini, maandiko huyaamini, mifano hai ya mabaki huyaamini. Ulitaka tukuaminishie na nini ??
Kwanini Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anataka kuaminiwa tu siyo kujulikana kwa uasahihi?MUNGU ni mwingi wa hekima na busara ndani yake, ukimuamini atakubariki na hana shida kama ambavyo humuamini pia hana shida.
Hatma yako ipo kwake na utarejea mavumbini huko ndipo kwenye hukumu ya kweli.
Mchele utapikwa wali na masuke yatachomwa moto.
Ni aibu kwa mtu wa karne hii kupambania kutetea uongo.Mimi najua unafahamu the role ya mountains in stabilizing the earth'crust,... Kitu pekee kinacho kutia upofu ni Negativity yako juu ya Qur'an, maana unaipinga Qur'an hata kwenye vitu ambavyo sayansi ime prove kwamba vipo hivyo,.
Surah An-Naazi'aat (79:32): "Have We not made the earth as a bed, and the mountains as pegs?"
These verses describe the mountains as being "firm" and "steadfast," and as helping to prevent the earth from shaking. This is consistent with modern scientific understanding of the role of mountains in stabilizing the earth's crust.
Mountains are formed by the movement of tectonic plates, and they play an important role in preventing earthquakes and other natural disasters!
Again nauliza, Uongo upo wapi hapo?!
Sawa tumekubali kwamba uwepo wa milima unasaidia katika kustabilize Dunia,Okay, si umesema Mountains doesn't give stability to the earth kama isemavyo Qur'an,...Have you ever assumed how the Earth's crust would have been in absence of the mountains????! Without mountains, the Earth's crust and its associated systems would experience significant disruptions, potentially leading to a less stable and less habitable planet!!!
Try reading these insights below 👇🏼,.... Usipoelewa na hapa basi hutokuja kuelewa tena:-
If there were no mountains on Earth's crust, it would have significant consequences for the stability of the Earth's crust and geological processes. Here are some potential side effects:
1. Increased Seismic Activity: Mountains play a crucial role in absorbing and redistributing tectonic forces. Without mountains, these forces would accumulate without a natural barrier to absorb them, leading to more frequent and potentially more destructive earthquakes.
2. Lack of Stress Redistribution: Mountains help redistribute stress in the Earth's crust, allowing for gradual deformation and stress release. Without mountains, stress in the crust would concentrate along fault lines, increasing the likelihood of sudden and intense earthquakes.
3. Erosion and Sediment Accumulation: Mountains are sites of intense weathering and erosion. Their absence would lead to a lack of sediment transport and deposition in lowland areas. This could disrupt natural processes, affect ecosystems, and lead to changes in sedimentary rock formation.
4. Altered Climate Patterns: Mountains influence climate by affecting air circulation patterns, precipitation, and temperature. Without mountains, these climate-regulating mechanisms would be disrupted, potentially leading to altered climate patterns, including more extreme weather conditions.
5. Impact on Biodiversity: Mountain ecosystems are unique and support diverse flora and fauna. The absence of mountains could result in the loss of many specialized species and habitats that rely on mountainous terrain.
6. Plate Tectonics and Continental Drift: Mountains are closely tied to plate tectonics and the movement of continents. Without mountains, the geological processes related to plate interactions and continental drift could be altered, affecting the long-term evolution of Earth's surface.
7. Oceanic Circulation: Mountains influence oceanic circulation patterns by affecting the distribution of warm and cold water masses. Their absence could disrupt ocean currents, potentially impacting climate systems and marine ecosystems.
kwa ufupi ni kwamba, the presence of mountains on Earth's crust plays a crucial role in stabilizing the planet's geological processes, including the mitigation of seismic activity, stress redistribution, and climate regulation.
NB:- Hakuna kazi ngumu kama ku argue against the truth!
ZoteViongozi wa hizo Dini na waumini Wao, wanalijiua Hilo , Ila wanajitoa ufahamu, eti ilikuwa ni Kazi ya kidini , dini Gani inahalalisha mauwaji Kwa binadamu wenzake
Nimesoma replies za hii thread, na nmeona kuna watu wanamuamini Mungu lakini hawawezi kutetea huyo Mungu bila mihemko na wasioamini hawawezi toa hoja juu ya astheism.Habarini wakuu,
Unajua Dunia imejaa mengi sana, yakustaajabisha na kusikitisha pia. Binafsi nilikuwa nahitaji kujua hivi mtu au watu wasioamini uwepo wa MUNGU huwaga wapo serious au ni jokes tu?
Kuna mda hadi naogopa, ujasiri wa kukataa hakuna Mungu huwa mtu unautoa wapi?
Je, vipi kuhusiana na Miujiza na athari ya nguvu yake katika maisha yako ya kila siku, mfano mambo ya riziki, maradhi, uhai, kifo etc?
Kuna vitu vya kuviletea UTANI ila sio uwepo wa MUNGU, Kama hauamini uwepo wake basi ni vyema kuwa silent ila sio KUPOTOSHA yakuwa hayupo.
Hivi ujasiri wa kusema MUNGU hayupo mtu unakuwa nao vipi au sisi wengine TUNAE MUAMINI ni waoga?
[emoji116]. [emoji116]. [emoji116]. [emoji116]. [emoji116].
Famous People Who Mocked God
Here are the top 5 influential people who famously mocked god and ended up dead
1. John Lennon (The Beatles)
John Lennon was a British legendary who co-founded the British invasion band called ‘The Beatles‘ in the 1960s. Lennon and co-writer Paul McCartney wrote hundreds of songs together along with George Harrison and Ringo Star, and together they remained at the top of the list for nearly a decade. The ladies were especially head over heels in love with John Lennon.
Some years ago, during his interview with an American Magazine, Lennon had said: “Christianity will end, it will disappear. I do not have to argue about that. I am certain. Jesus was okay, but his subjects were too simple, today we are more famous than Him” (1966).
His remark led to an outrage among his fans and triggered a protest rally, people thought he mocked God, where people expressed their anger by setting their vinyl records and The Beatles’ posters afire. In 1970, The Beatles disbanded.

On the 8th of December 1980, Lennon was shot six times in his head by one of his fanatics in front of his house and died on the spot. Interesting fact, he kind of did predict how he would die. Now, that’s spooky!
2. Marilyn Monroe (Hollywood Celebrity)
She had the perfect life that anyone could ever dream of; a remarkable amount of wealth and great fame, and she was astoundingly beautiful.

One day during filming, she was visited by Billy Graham during a presentation of a show. He said the Spirit of God had sent him to preach to her. After hearing what the Preacher had to say, she said: ‘I don’t need your Jesus’. A week later, she was found dead in her bedroom.
The most accepted theory suggested she was suffering from depression and committed suicide. In fact, it was actually the right time for her to seek God but she mocked God.
3. Thomas Andrews (Titanic Shipbuilder)
[https://icytales]By Everett Collection/ Shutterstock
Thomas Andrews was inspired to build a ship that would be legendary during his time. After the construction of the mighty Titanic, a British luxury liner, a reporter asked him how safe the Titanic would be. With an ironic tone, he said, ”Even God himself couldn’t sink the ship”.
The result: I think you all know what happened to the Titanic.
[https://icytales]Icy Media
4. Tancredo Neves (President of Brazil)
During his Presidential campaign, he said if he got 500,000 votes from his party, not even God would remove him from Presidency.
Sure, he got the votes, but the unfortunate fella got sick a day before he was made President and died.
5. Bon Scott (AC/DC Former Vocalist)
[https://icytales]By loudersound.com
Scott in his golden days with AC/DC since 1974 had replaced Dave Evans as the vocalist of the band. On one of his 1979 songs he sang: ‘Don’t stop me; I’m going down all the way, down the highway to hell’.
A year later, Scott was found dead on 19 February 1980; he choked on his own vomit.
Humans can only come up with theories, but God alone knows the true reasons for their death.
Kama ushahidi wa uwepo wa Mungu unao, utoeHabari ya Mungu ni kweli na ushahidi upo..
Kwa sisi waislam, Qur an imeeleza vitu vingi ambavyo tunajionea wenyewe sasa hivi na wanasayansi wanazidi kugundua vitu ambavyo Qur'an ilishavielezea miaka 1400+ iliyopita.
Hata mimi nishawahi kuwa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu na juu ya imani yangu. Ila baada ya kusoma Qur'an na kuifuatilia pamoja na kufuatilia vitu vilivyogunduliwa na wanasayansi basi shaka yangu yote iliondoka
Ukiachaa na Torat, Zaburi, Injil, Qur'an.... Kuna ushahidi mwingne juu ya uwepo wa MUNGU??Ueleze Mungu huyo yupo kwa namna gani?
Ana muonekano upi?
Na ulifahamu vipi yeye ni Mungu.
Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]You are not mature enough to handle this debate