Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Siku yake imefika na mbakaji ana kosa sababu amekuwa sababu ya kifo cha mtoto husika.
Sasa kama Mungu alipanga sababu ya huyo mtoto kufa ni lazima aje abakwe kisha auliwe, je mbakaji aliweza kuepuka kutobaka na kuua?
 
Bado Mungu anayeua watoto wachanga wasiojua baya wala jema, ataendelea kuhesabika kuwa ni Mungu mwenye upendo wote?
 
Amekwambia nani ? Unapo muadhibu mwanao baada ya kukosea (hapa napo Kuna uhuru) huwa anakuwa hayuko huru ? Huwezi kuutenganisha uhuru na kupatia au kukosea.

Kijana hata hili dogo linakushinda kuling'amua ?
Ukimuadhibu mwanao ni ishara kuwa hayupo huru.

Yupo chini ya sheria ambayo umemuwekea, sheria iliyo ambatana na adhabu pale anapokiuka hizo sheria.

Uhuru hauna mipaka.

Penye mipaka hapana uhuru.
 
Ndio maana hata wewe Leo hii unamkana aliye kuumba na anakupa pumzi, huu ndio uhuru kamili sasa.
Sipo huru kwasababu amesema wanaompinga wataenda motoni.

Inawezekana kabisa hata wewe unngekuwa una mpinga ila kilichofanya ushindwe, ni kuogopa adhabu siku ya mwisho.

Pengine unaishi kwa unafki ili tu uwe salama siku ya mwisho.
 
Ni ujinga
 
Amka mapema before it is to let
 
Unaweza kuwa mkristo lakini ukashindwa kufuata ukristo.
 
Crusades (1050 - 1300), Inquisition (12th to 13th century), ISIS, Al-Shabaab, Boko Haram, Wakatoliki na Waprotstanti wa Northern Ireland, Wahindu na Waislamu wa India. Hao wote wamefanya unyama wa ajabu dhidi ya binadamu kwa kutumia jina la Mungu.
Unatakiwa kujua kuna Watu wanatumia dini kwa manufaa yao binafsi.ingawa wenyewe wanaweza wasifuate mafundisho ya dini zao.
 
Sipo huru kwasababu amesema wanaompinga wataenda motoni.

Inawezekana kabisa hata wewe unngekuwa una mpinga ila kilichofanya ushindwe, ni kuogopa adhabu siku ya mwisho.

Pengine unaishi kwa unafki ili tu uwe salama siku ya mwisho.
Sikia Mungu wa kweli kanuni yake ni usafi,Mbingu yake kanuni yake ni usafi.sasa wewe ukiwa na akili timamu umechagua upande wa machukizo/uchafu.inamaana wewe sio wa upande wake.kwa hiyo kinachokuhukumu ni uchaguzi wako sio yeye.Kwa sababu kuna pande mbili
 
Kama kanuni yake ni usafi, iweje kazi zake ziwe chafu?

Hayo machukizo ni sehemu ya kazi yake maana yeye ndio aliumba ulimwengu huu wenye kuruhusu huo uchafu uwepo.
 
Mimi adi leo hii najiuliza sn hili swali hivi n kweli mungu yupo??
Km yupo mbna hakuna miujiza yyte tunaeza kupata

kama hayupo ni nani alitutengenezea huu mfumo mzima wa maisha tunayoishi adi leo hii

Ukiskiliza story za zamani eti mitume ulikua inafnya vitu na kufanikiwa kwa akili za uzima kabisa ukiwaza vyema unaona huu n utapeli n uongo ambao hauwezekan

Sent from my TECNO CK6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kuthibitisha ya kuwa umekosea katika kujenga hoja, yaani uliye mkusudia hana sifa hiyo kabisa Wala hakuwahi kuwa nayo.

Kwahiyo umeandika uongo na hakuna maana ya uzembe ya hivyo.
 
Swali ni kweli huna uchaguzi ? Kwanini unafanya zuri na unafanya baya na Kuna muda una ghairi ?

Mipango ya Allah haikuzuii wewe kufanya unachotaka ndio maana unafanya.

Adhabu ipo sababu umepewa akili, utashi na matamanio, na Kuna wakati ukifikiria unaona kabisa hatima ya jambo unalo fanya kwa maana ukifanya ubaya ujue umechagua ubaya na kwanini ufanye ubaya na wema upo ? Huu ndio uhuru kamili.
 
Huko juu umesema kila kitu kimepangiliwa na kinafanyika kwasababu maalumu.

Kama kila kitu kimepangiliwa na kinafanyika kwasababu maalumu, huoni njia yeyeto atayopita binadamu ni sehemu ya mipangilio aliyowekewa na Mungu?
Ambayo inaendana sambamba na uhuru na matashi yako mwanadamu.
 
Nani amekwambia udongo ulio tumika kuumbiwa Adam ulitokea ardhini ?

Sisi sio asili yetu Ulimwengu kupitia udongo, hiI habari wewe umezipata wapi ?

Mwanadamu ndio dhaifu, unaposema ulimwengu kuwa dhaifu kivipi ?
 
Hilo ndio kosa. Unatumiaje kitu dhaifu kujua ubaya na uzuri ? Lazima ukosee.

Unaweza kufa bila kuumwa, na unaweza kwenda kutibiwa na ukafa.

Hizo nita hadhari na hilo ni jambo la kimaumbile, sababu hakuna ane weza kuzuia kufa, hizo fire extinguisher hazipo kwa lengo hilo unalo dai wewe bali kwa lengo la kuilinda mali zisiharibike endapo uharibifu ukitokea.

Huzuni huja si tu kwa kufiwa bali kwa mambo mengi, ili ufikie lengo la kuumbwa kwako, lazima ufe na kifo ni haki na ni hatua.

Bado hujaonyesha hakika ya ubaya wa kifo zaidi ya kuelezea hisia zako za ndani.
 
Swali ni kweli huna uchaguzi ? Kwanini unafanya zuri na unafanya baya na Kuna muda una ghairi ?
Kisai usijenge hoja zako kwa kudanganya
Kwenye uislam hakuna uchaguzi kila unalofanya Allah kasha kupangia huna chochote unaweza Fanya kubadili , tena anakuadhibu kwa kufanya aliyokupangia utafanya

Soma ichi kisa

Allah kampangia na akachinjwa kwa sababu Allah kampangia atakuwa kafir

  • Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
    • Prophet (ﷺ) said: "The boy that Al-Khidr killed was destined to be a disbeliever the day he was created.'" Jami` at-Tirmidhi 3150
 
Swali ni kweli huna uchaguzi ? Kwanini unafanya zuri na unafanya baya na Kuna muda una ghairi ?
Kisai nakutaka ujifunze dini Yako kwa umakini , unakuwa unampinga Allah na Muhammad wazi kabisa na unajua Aya ya 5:33 inataja ukatwe mikono na miguu

Allah anakupangia kila kitu mpaka uzinzi utakao fanya na utafanya na nani na wapi ,
Soma
...Allah fixed the very portion of adultery which a man will indulge in. There would be no escape from it.....Sahih Muslim 2658a
 
Swali ni kweli huna uchaguzi ? Kwanini unafanya zuri na unafanya baya na Kuna muda una ghairi ?
....Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c


Kama Allah kashakuumba wewe ni WA motoni , free will ya kuchagua peponi unaitoa wapi?
 
Ambayo inaendana sambamba na uhuru na matashi yako mwanadamu.
Hakuna uhuru acha kudanganya

Soma
Malaika anakuandikia ukiwa tumboni mambo ma 4 embu yataje

Allah's Messenger (ﷺ), the truthful and truly-inspired, said, "Each one of you collected in the womb of his mother for forty days, and then turns into a clot for an equal period (of forty days) and turns into a piece of flesh for a similar period (of forty days) and then Allah sends an angel and orders him to write four things, i.e., his provision, his age, and whether he will be of the wretched or the blessed....Sahih al-Bukhari 6594
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…