Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahih muslim Book 33, Number 6409: Allah alimpangia adamu kufanya dhambi , alafu akamuadhibu kwa kufanya dhambi aliyompangia atafanyaAmbayo inaendana sambamba na uhuru na matashi yako mwanadamu.
Akienda kinyume na maagizo ya Allah.Kama hakuna kitu kinachofanyika bila yeye kukiruhusu, utamjaji vipi mtu kuwa kafonya kosa?
Naam aliweza kuepuka.Sasa kama Mungu alipanga sababu ya huyo mtoto kufa ni lazima aje abakwe kisha auliwe, je mbakaji aliweza kuepuka kutobaka na kuua?
Naam sababu unakuwa muda umefika.Bado Mungu anayeua watoto wachanga wasiojua baya wala jema, ataendelea kuhesabika kuwa ni Mungu mwenye upendo wote?
Unamuadhibu mwanao baada ya kufanya nini kwake ?Ukimuadhibu mwanao ni ishara kuwa hayupo huru.
Yupo chini ya sheria ambayo umemuwekea, sheria iliyo ambatana na adhabu pale anapokiuka hizo sheria.
Uhuru hauna mipaka.
Penye mipaka hapana uhuru.
Huwa nakupuuza sababu unapenda kubadili maana ya maandiko.Kisai usijenge hoja zako kwa kudanganya
Kwenye uislam hakuna uchaguzi kila unalofanya Allah kasha kupangia huna chochote unaweza Fanya kubadili , tena anakuadhibu kwa kufanya aliyokupangia utafanya
Soma ichi kisa
Allah kampangia na akachinjwa kwa sababu Allah kampangia atakuwa kafir
- Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
- Prophet (ﷺ) said: "The boy that Al-Khidr killed was destined to be a disbeliever the day he was created.'" Jami` at-Tirmidhi 3150
Sasa hao wanapewa hiyo adhabu baada y kukataa kufanya wema na yenye manufaa kwao kwa hiari yao, ndio maana wanapewa adhabu hizo.Kisai nakutaka ujifunze dini Yako kwa umakini , unakuwa unampinga Allah na Muhammad wazi kabisa na unajua Aya ya 5:33 inataja ukatwe mikono na miguu
Allah anakupangia kila kitu mpaka uzinzi utakao fanya na utafanya na nani na wapi ,
Soma
...Allah fixed the very portion of adultery which a man will indulge in. There would be no escape from it.....Sahih Muslim 2658a
Wewe unajuaje kama ni WA motoni ? Allah anajua wewe ni WA motoni na fulani wa peponi kwa elimu yake na ukubwa wake, na sisi hatujui ni WA peponi au motoni. Kwanini tusifanye mambo ya watu wa peponi tukapata pepo na uhuru tuko nao ?....Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
Kama Allah kashakuumba wewe ni WA motoni , free will ya kuchagua peponi unaitoa wapi?
Issue ni kwamba najua wazi kingereza kwako ni hujuiHuwa nakupuuza sababu unapenda kubadili maana ya maandiko.
Hapa kwanza nitakuuliza swali, hii aya anayeongea hapo au kunukuliwa ni nani ?
Shida kubwa kwako ni kingereza, tafuta mtu akusomee na akuelewesheSasa hao wanapewa hiyo adhabu baada y kukataa kufanya wema na yenye manufaa kwao kwa hiari yao, ndio maana wanapewa adhabu hizo.
Allah anakupangia ila hakulazimishi, kwa maana mpango wa Allah kwako una uhuru ndani yake.
Shida kubwa kwako ni kingereza tafuta mtu akusomee na akuelewesheWewe unajuaje kama ni WA motoni ? Allah anajua wewe ni WA motoni na fulani wa peponi kwa elimu yake na ukubwa wake, na sisi hatujui ni WA peponi au motoni. Kwanini tusifanye mambo ya watu wa peponi tukapata pepo na uhuru tuko nao ?
Ukichagua matendo ya motoni, Allah anakuacha uelekee huko huko ulipo chagua.
Ujasiri sweetheart..
Lazima nijali love God is goodUjasiri sweetheart..
Mbona Tanzania tangu imeukuwepo imekuwa ikiongozwa na watu wa dini ila kina ufisadi, wizi, uzembe, ubambikiaji kesi na dhuluma??Watu ambao hawamuamini MUNGU, hawafai kuanzia kwenye ngazi ya kifamilia mpaka ya kitaifa na kimataifa.. sio wa kuwaamini kabisa.
Ukiwa na imani ya MUNGU.. Moja kwa moja inakujengea hofu ya kufanya mambo maovu. Hivo unajichunga wewe kama wewe kuhakikisha huwakosei binadamu wenzako. Na hapo utu ndo unapojengeka