Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Sio kama aamini, ila hapendi kudhihilisha hilo mbele yetu.

Yani huyu ajawahi kupata tatizo kubwa alafu likampelekea ahitaji suluhu kutoka kwa Mwenye vilivyomo: i. e maradhi, ajali, zile hukumu za miaka 30 jera etc. Atakubari tu ila nafkiri ni suala la mda.[emoji3578][emoji3578]
 
Unajua mpaka mda huu mm bdo naona kama ni Jokes tu, kwani wapi seriously au mm ndo sielew
 
Alijifunua kwa nani?
Babu mzaa Babu yako?
Bibi kizaa bibi yako?
Au Mwanaume aliyemzaa Babu aliyemzaa Babu wa Babu yako?

Sasa wewe mwerevu ulijuaje kwamba huyo ni Mungu/mungu?
Nafkiri huna vitabu vya kutosha kichwani kwako kumuhusu yeye SUPER NATURE. Kasome kwanza ndo uje vizuri na Matusi mazuri kama haya.

Yaani tatizo la kutomuamin MUNGU ndo hili, kupanic sana bila FACT. Na wasiwasi kila mara, yaonekana hapo ulipo umejashuka sana huku unatype[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pagani asikutese. Hata hivyo mafundisho ya dini yanasema TUPENDANE. Hayajasema tuwapende wa imani zetu tu, kwa hiyo ni tuvumiliane.
Naunga mkono hoja[emoji3578]
 
Reactions: Tsh
Yaah na ndo maana wanabarikiwa katika baadhi ya mambo, MUNGU YUPO.
 
So sad
 
Kwani unaamuamini MUNGU au viongozi wa DINI, tambua wale ni watu kama wewe na wana mapungufu pia(their not Angels)

Ni kweli dunia ina machafuko, je ulitakaje yani; MUNGU afanye nin??
 
Samahani mkuu, hoja zako bado ni dhaifu sana. Katika vitabu vifuatavyo ukiachana na hiko kimoja umesoma kipi ?? Pengine imani yako ni ndogo juu yake kutokana umemsoma kwenye kurasa chache:

[emoji3581]Torat
[emoji3581]Zaburi
[emoji3581]Injil
[emoji3581]Qur'an

Kajaribu kupitia vizuri vitabu hivi kisha urudi tena, sio vyema kumjaji Mungu wakati bado hauko vyema kumuhusu yeye coz utaharibu maana nzima kumuhusu yeye.
 
Watu hatuamini huwepo wa hivyo vitu lakini tunatenda yale yanayapaswa kutendwa na binadamu mwenye utu na aliyestaharabika, endeleeni na unafiki wenu...kabla ya hizi dini mababu zetu walikuwa wanaishi vipi?
Walikuwa wanaishi vizuri tu, tena kwa upendo, amani na kwa kufuata kanuni za kimila ila pia walimuamini Mungu na kumuheshimu kwa vitendo ndo maana walbarikiwa na walipewa wayatakayo eg. Mvua.

Sasa kwanini now days kuna baadhi kati yetu hawamuamini??

Hivi huoni ndo chanzo cha majanga yote haya yatokeayo juu yetu foristence, ukosefu wa mvua, njaa, mauaji na matetemeko??

Ebu jaribu kucompare kale na awali then tuongee same language.
 
Bullshit. Watu wanaomuamini Mungu ndio watenda maovu kuliko wasiomuamini Mungu.
Naona umetumia hisia badala ya uhalisia. Yaani hapo naona kama umetumia ego defense mechanism ili ujiweke pazuri.

Mimi naona badala ya umuamini MUNGU, unaamini baadhi ya viongozi waovu wachafuao taswira ya DINI.
 
Yaah na ndo maana wanabarikiwa katika baadhi ya mambo, MUNGU YUPO.
Wazungu wanatoa sana ili wabarikiwe.
Wanatoa sana misaada ili wachukue baraka zetu,ategemeae misaada ubakia masikini milele huku wao wakisonga.
Hii Siri wengi hawajui
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijapinga mkuu, wew msimamo wako ni upi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijapinga mkuu, wew msimamo wako ni upi?
Sijui kama mungu yupo au la.
Maana sijawahi thibitisha kama yupo au kama hayupo mi sijui.

Kakaa huko hataki watu wamjue anategemea nani ataamini kwamba ana-exist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…