True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
- Thread starter
- #61
Sio kama aamini, ila hapendi kudhihilisha hilo mbele yetu.Mzee umemkosea sana mungu sema kuna sehemu mnafeli maombi yanaitaji mtu uwe msafi kiroho sasa wew Msela nondo ni ngumu kuamini kwanza ndio unaweza nguvu za mungu au kunyakati hujazifikia [emoji51] wew ishi ila [emoji16][emoji16] Kuna siku anaweza kukuaminisha yupo
Yani huyu ajawahi kupata tatizo kubwa alafu likampelekea ahitaji suluhu kutoka kwa Mwenye vilivyomo: i. e maradhi, ajali, zile hukumu za miaka 30 jera etc. Atakubari tu ila nafkiri ni suala la mda.[emoji3578][emoji3578]