Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

Ni ujinga
Na mtu yeyote anaweza kuwa mjinga katika jambo fulani na si kosa!

Tatizo litakuja pale 'mjinga' huyo atakapo elimishwa na akakaendelea na msimamo wake na matokeo yake atakuwa 'mpumbavu'
 
Ni ujinga
Na mtu yeyote anaweza kuwa mjinga katika jambo fulani na si kosa!

Tatizo litakuja pale 'mjinga' huyo atakapo elimishwa na akakaendelea na msimamo wake na matokeo yake atakuwa 'mpumbavu'
Upo sahihi mkuu, na nilichogundua hapa wasiomuamini MUNGU tayari kwao ni IMANI. Ni ngumu sana kubadili mtu haaminicho.
 
Kwanini una amini Mungu?

Kwako wewe unaona kipi ni bora kati ya kuamini Mungu na kujua Mungu yupo?
 
Kwanini una amini Mungu?

Kwako wewe unaona kipi ni bora kati ya kuamini Mungu na kujua Mungu yupo?
Kinachotangulia ni IMANI, ukimuamini MUNGU ndipo linakuja suala la kujua uwepo wake.

Nimekujibu vizuri mkuu??
 
😳JAmAN!
 
Ni kivipi riziki, maradhi, uhai na kifo vinasadifu uwepo wa mungu?

Kwanini pia unahisi hii ni miujiza?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kama unaona ni vyema asieamini akae kimya kwanini wewe unaeamini pia usikae tu na Imani yako kimya muache kutuhubiria.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo na wanaolipua majengo na kuchinja watu kwa jina la mungu wao na wenyewe pia kuamini mungu kumewajengea hofu ya maovu?

Mafisadi serikalini, wab.akaji, majambazi wote ni hawamuamini mungu?



Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Ni kivipi riziki, maradhi, uhai na kifo vinasadifu uwepo wa mungu?

Kwanini pia unahisi hii ni miujiza?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Swali zuri, kwa kawaida matatizo kama maradhi ni sehemu ya ibada kwa mwanadamu kwa maana n moja ya kipimo cha imani ya mwanadamu kwa MOLA wake mlezi.

Hence, matatizo humrejesha mwanadamu kuongeza unyenyekevu kwa mola wake ili kupata msaada juu ya yamkabiliyo.
 
Kuna Mungu wengi sana walijifunua kwa watu tofauti na wote waliwapa maelekezo mungu wengine sio wa kweli ni yeye tu ndio wa kweli. Kwa hiyo ningeomba uanze Kwa kuniambia ni mungu yupi aliejidhihirisha na akafunga ukurasa na aliacha maandiko yapi (bible, Quran, Bhagavad Gita, the book of Mormon)

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwa maana hiyo unataka kusema kwamba kwa kuwa kuna matatizo duniani basi maana ake lazima kuna Mungu anatupima imani ili tumkumbuke si ndio?

Kwa maana hiyo nikikutana na matatizo kwenye maisha yangu ni Mungu tu ananipima imani sasa vipi kuhusu matatizo ya kujitakia kama vile mtu kushindwa kulipa ada za watoto kwasababu ya kutumia mshahara kulewa pombe na kufanyia starehe zilizopitiliza na hii pia ni kipimo cha imani?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Una ufara mwingi
 
Umeuliza maswali mazuri, nafikiri utakuwa umeipitia vyema Injili ya Jesus; unakumbuka pale shetani alipo muamuru Jesus ajitupe kwenye maporomoko ya majabari, Je Jesus alijibu nini??

[emoji419]USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO.

Kwa maana kuna baadhi ya matendo tuyafanyayo kwa makusudi ili kupima uwepo wa MUNGU, Kitu ambacho ni chukizo kwake.

Tukirudi kwenye nguzo za Imani kupitia kitabu cha Qur'an: nguzo ya mwisho ya Imani kwa waislamu ni ipi ??

Any way ngoja nikufafanulie kidogo kwa uelewa wangu;

Kuna nguzo sita za Imani katika uislamu ambazo ni :

1.Kumuamini Allah

2.Kuamini malaika

3.Kuamini mitume wa Allah

4.Kuamini vitabu vya Allah

5.Kuamini siku ya mwisho

[emoji419]6 . Kuamini Qadari (ya kheri au ya shari) kuwa inatoka kwa Allah).

[emoji3581]Nguzo ya mwisho ya uislamu ni kuamini kuwa kuna Qadari. Kheri au shari zote znatoka kwa Allah.

Inatakiwa kuamini kila kitu katika maisha yetu vilishaandikwa . inatikiwa kuamini kwamba chochote ALLAH atakacho amua kutokea, kitatokea kwasababu yeye ndo muumba wa kitu vilivyomo mbinguni na ardhini.

Hizi nguzo za Imani ndo misingi ya Imani kama muislamu. Nguzo za ndo msingi wa Imani juu ya uislamu. Kuamini nguzo zote za Imani na kuzielewa ndio Imani thabiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…