Kutomwaga maji chooni kabla ya kujisaidia haja ndogo, imekaaje?

Angyelile99

Member
Joined
Oct 9, 2023
Posts
89
Reaction score
164
Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
 
Mjitahidi kua mnaandika headings ambazo hazinishitui aiseeee.....
Kumwaga maji nilisha waza mbali sana mazee.....πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…