Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 89
- 164
Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa kama aliyetoka kamwaga maji anayeingia amwage maji ili asafishe nini? Au amwage maji asafishe maji
😂😂 u kill itSasa kama aliyetoka kamwaga maji anayeingia amwage maji ili asafishe nini? Au amwage maji asafishe maji
😂😂😂Sasa kama aliyetoka kamwaga maji anayeingia amwage maji ili asafishe nini? Au amwage maji asafishe maji
Utakuwa mshirikina wewe si bure!Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
Unataka kusema Nini mkuu?Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
Hayo maji ya kumwaga mara mbili Dawasa wanayo!Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
Ngoja waje kumpa muongozo...