Kutongoza raha jamani...

Kutongoza raha jamani...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Nakumbuka kipindi nilivyokuwa 'kijana'.... dah!

Ingekuwa ndo sasa hivi kina dada wote humu mngekomaje!...
 
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!
 
bado hujajibu swali ni raha ipi ya kutongoza.......................yaani sioni uhusiano wa kichwa cha khabari na mada.....................
 
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!

na kweli mabwege huwa mnawapata kweli.............................

chezea hao hao, wengine hatujaribiwi ati....................
 
kujilipua ndio mpango mzima tutawapataje wenza wetu sasa? mie niko kwenye mchakato nikipendezwa tu najifunga mabomu najilipua inshallah ntampata tu ........
 
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!

hahaha pole,alikufanya buzi. Ila wanawake vbaya hvyo mfanyavyo mjue
 
na kweli mabwege huwa mnawapata kweli.............................

chezea hao hao, wengine hatujaribiwi ati....................

huna lolote,muda wko bado 2,ukfka utakuwajibwege
 
hahaha utawapata hao hao....hakuna kitu cha mwanaume kamili kikaenda hivi hivi
hommie hebu kua wa kwanza kinigongea kale ka fevareti ketu (naskia ma mod hawataki tuombe)
 
Back
Top Bottom