Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani.
Tusisahau mambo kama haya ni kete kwa vyama vya upinzani dhidi ya chama tawala hata kama ACT hawaaminiki sana kwani kuna saa hata saa mbovu husema ukweli.
Uzuri siri huwa zinatoka humo humo kwa wahusika kwani sio wote wanapendezwa na haya mambo.
Muda utaongea.