Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
ok.🐒Tunapoona ACT kama chama wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, huenda wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani.
Uzuri siri huwa zinatoka humour humo kwa wahusika kwani sio wote wanapendezwa na haya mambo.
Muda utaongea.
Hadi leo nashindwa kuelewa kwa nini Dkt Nchimbi alijiuzulu akiwa hapa nchini na anajua kabisa na Samia walikua hawaeleweni toka siku ya kwanza.Tunapoona ACT kama chama cha siasa wanatoka hadharani kuhoji ni wapi alipo Dr.Nchimbi, basi huenda tayari wana taarifa ya wapi alipo au ni nini alifanyiwa kiasi kwamba haonekani hadharani.
Tusisahau mambo kama haya ni kete kwa vyama vya upinzani dhidi ya chama tawala hata kama ACT hawaaminiki sana kwani kuna saa hata saa mbovu husema ukweli.
Uzuri siri huwa zinatoka humo humo kwa wahusika kwani sio wote wanapendezwa na haya mambo.
Muda utaongea.
Kuna mambo Mungu (NATURE) huruhusu yatokee ili mipango yake itimie.Hadi leo nashindwa kuelewa kwa nini Dkt Nchimbi alijiuzulu akiwa hapa nchini na anajua kabisa na Samia walikua hawaeleweni toka siku ya kwanza.
Akajua kabisa katika kumfutilia nyendo zake angewekwa kwenye dentetion.
Mamlaka ambayo haijatoka kwa Mungu lazima ipitie misukosuko kama ya Farao na Nebukadreza.Kuna mambo Mungu (NATURE) huruhusu yatokee ili mipango yake itimie.
Soon atatoka? How?Hadi leo nashindwa kuelewa kwa nini Dkt Nchimbi alijiuzulu akiwa hapa nchini na anajua kabisa na Samia walikua hawaeleweni toka siku ya kwanza.
Akajua kabisa katika kumfutilia nyendo zake angewekwa kwenye dentetion.
Sijui kama Kikwete alikubaliana na Samia kuhusu hilo au Usalama wa Taifa wameamua kumnyamazisha hadi Samia wadili na Nchimbi.
Akiwa alijuzulu kwa hiari angekabidhi ofisi kiungwana
Angeenda kizmkazi msibani
Angeenda kushuhudia kuapishwa kwa Ndejembi
Kuna mambo wanayajua wao ila ukweli ni kwamba jamaa amewekwa kwenye dentention km Jumbe ila soon atatoka.