Kutopokelewa ASEC Mimosa, Yanga wamestaarabika kidogo?

Kutopokelewa ASEC Mimosa, Yanga wamestaarabika kidogo?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kwa ufupi sana

Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc.

Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee. Mnataka kutushawishi kwamba mmestaarabika kiasi?
 
Sababu ni mbili
1. Asec walishakataa huo upuuzi
2. Matopolo yanajiandaa kwenda kusema Kwa mama
 
Asec walikataa huo upumbavu wakasema wao hawana mashabaki Tanzania na hawataki mashabiki wa muda mfupi, shenzi taip

IMG-20220212-WA0004.jpg
 
Kwa ufupi sana

Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc.

Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee. Mnataka kutushawishi kwamba mmestaarabika kiasi?
Wamekua....ule ulikuwa utoto tu.
 
Simba ilisha jifia kila mtu anaogopa kuhusishwa na kifo Cha Simba ndio maana werevu wamekaa pembeni ili Simba wasipate sababu.

Kwa hiyo wakati nyie mazwazwa ya utopolo mlipokuwa mnazipokea timu za nje Simba ilikuwa haijajifia na kwamba werevu mlikuw hamjakaa pembeni kwa mlivyokuwa mnafanya siyo...!??!
Utopolo bhana...!
 
Akili zimeanza kuwakaa sawa maana wamejipendekeza kwa asec kawachomolea watafanya nin lazma watulie tu amna namna..
 
Kwa simba hii kibogoyo! Unaenda kuwapokea wageni ili iweje? Maana uwezekano wa kufungwa nyumbani na ugenini ni 99%. Ndiyo maana hao mashabiki wameona wapotezee tu.

Yaani ushinde kwa penati za kupewa na marefa kwenye mechi dhidi ya timu ndogo kama Mbeya Kwanza, halafu utegemee kushinda dhidi ya timu kubwa na kongwe kama Asec Mimosa!

Simba mjipange kwa msimu ujao bhana.

Unateseka ukiwa wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom