OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sababu ni mbiliKwa ufupi sana
Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc.
Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee. Mnataka kutushawishi kwamba mmestaarabika kiasi?
Baada ya mechi msije tu kusema tumewafunga vibondeHakuna Asiyejua Kama Kesho Mnaukalia [emoji533][emoji23]
Asec walikataa huo upumbavu wakasema wao hawana mashabaki Tanzania na hawataki mashabiki wa muda mfupi, shenzi taip
Wamekua....ule ulikuwa utoto tu.Kwa ufupi sana
Toka enzi za Plateu na way back tumeshuhudia mashabiki na uongozi wa Yanga Utopolo ukishiriki kupokea wageni wapinzani wa Simba Sc.
Ajabu safari hii hatuwaoni Airport vepee. Mnataka kutushawishi kwamba mmestaarabika kiasi?
Simba ilisha jifia kila mtu anaogopa kuhusishwa na kifo Cha Simba ndio maana werevu wamekaa pembeni ili Simba wasipate sababu.
kumbe wamefokewa
Kwa simba hii kibogoyo! Unaenda kuwapokea wageni ili iweje? Maana uwezekano wa kufungwa nyumbani na ugenini ni 99%. Ndiyo maana hao mashabiki wameona wapotezee tu.
Yaani ushinde kwa penati za kupewa na marefa kwenye mechi dhidi ya timu ndogo kama Mbeya Kwanza, halafu utegemee kushinda dhidi ya timu kubwa na kongwe kama Asec Mimosa!
Simba mjipange kwa msimu ujao bhana.