Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

nyambaterito

Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
51
Reaction score
46
Kuna hili suala la kuwa mtu akipata ajali iwe ya kupigwa au ajali ya aina yoyote ile, inabidi apate kibali toka Polisi ndio kisha atibiwe je hii ipo sawa?

Kwanini inakuwa hivi?

Nilijaribu kuuliza sababu ni nini na jibu nalopewa ni kwa sababu za kiusalama, sasa sijui kama ni haki kumwacha mtu anateketea au kuangamia kisa kukosa tu kibali toka polisi.

Kwa upande wangu naona uwekwe utaratibu tu wa kuwapa matibabu huku mambo madogo madogo yaendelee ili kuokoa maisha ya mgonjwa.

Kwa upande mwingine nahitaji kujua ni kwanini?🙏
 
Hivi ni Sawa mtumishi kama daktari kufanya kazi miaka 30 huku akipigwa kalenda ya kiinua mgongo?Huku mbunge wa Tanzania akimaliza miaka mitano anapewa fedha zake muda huohuo
 
Kwa upande mwingine nahitaji kujua ni kwanini?[emoji120]
Sio sawa, save uhai kwanza mengine yatafuata
 
Ni upuuzi usio na msingi maana unaweza fariki
 
kitengo cha polisi inabidi kiwepo vituo vya afya na hospital zotee ili kurahisisha huduma

Tunajua ukatili unaitaji ushahidi
Na ushaidi upo kabla ya kutoa huduma
Ivo ni muhimu police case kuwepo na kitengo Chao Ikiwezekana kuajiri mtumishi aliyepitia police kwanza kwa msaada wa police ili kurahisisha huduma kwa muathirika
 
Facts.pakipatikana na mtumishi ambaye amepitia police then anapewa kitengo kwenye Hospitar au Zahanati ili kurahisisha haya mambo.
 
Kwa upande wangu naona ni bora kama polisi wangeweka vituo vidogo kwenye mahospital ili kupunguza muda wa kuzunguka kuchukua hiyo pf3
Ni kwl nakuunga mkono.Vituo viwepo ili kurahisisha mzunguko mkubwa ambao unagharimu mda mwingi mpka kupelekea mgonjwa kukosa matibabu ya mwanzo.
 
Ni upuuzi usio na msingi maana unaweza fariki
Na hili ndilo nalojaribu kuliangalia.Maana utakuta mtu kaja may be na mzazi au ndgu pale wanajaribu kumtolea maelezo lakini bado mtu haeleweki unaambiwa hautibiwi mpka Pf3😓 So sad,Inaghalimu maisha ya mtu kwa kitu ambacho sizani kama kina umuhimu saanaaa.
 
Sio sawa, save uhai kwanza mengine yatafuata
Kweli hii haipo sawa.Kama kuna suala la kimakosa kafanya,apewe.kwanza huduma huku mambo ya uchunguzi yanafuata kama akionekana na makosa si basi akitibiwa atawajibika.Lakini utakuta Daktari anakazia yaan mpka inakuwa kero.So sad wabadilike kwenye hili suala
 
Hivi ni Sawa mtumishi kama daktari kufanya kazi miaka 30 huku akipigwa kalenda ya kiinua mgongo?Huku mbunge wa Tanzania akimaliza miaka mitano anapewa fedha zake muda huohuo
sio sawa.Unajua katika Nchi yetu kuna watu au kazi ambazo hawatiliwi maanani kabisa kama Ualimu na daktari yaan Elimu na Afya,wanazichukulia ize ize saana.
 
Kuna hili suala la kuwa mtu akipata ajali iwe ya kupigwa au ajali ya aina yoyote ile, inabidi apate kibali toka Polisi ndio kisha atibiwe je hii ipo sawa?

Kwanini inakuwa hivi?

Nilijaribu kuuliza sababu ni nini na jibu nalopewa ni kwa sababu za kiusalama, sasa sijui kama ni haki kumwacha mtu anateketea au kuangamia kisa kukosa tu kibali toka polisi.

Kwa upande wangu naona uwekwe utaratibu tu wa kuwapa matibabu huku mambo madogo madogo yaendelee ili kuokoa maisha ya mgonjwa.

Kwa upande mwingine nahitaji kujua ni kwanini?[emoji120]
Jambo hili linakera sana.
Fikiria mtu amepata ajali kituo A.
Hospitali ipo kituo B ambapo ni kama km.2.
Kituo cha polisi kipo kituo C ambapo ni kama km.2 au zaidi mbele ya hospitali.
Namaanisha kuwa huyu majeruhi anatakiwa apiite kwenye hospitali ambapo angepata huduma, aende mbele kwenye kituo cha polisi kutafuta fomu hiyo kisha arudi.

Hata wewe ukifanya usamaria, utahitaji kumpeleka kituo cha polisi kisha kurudi nyuma kumleta hospitalini.
Ni rahisi kufanya hili?

Mara mbili nimebeba majeruhi wa ahali lakini kila nikiwapeleka hospitali nakerwa na maswali mengi ninayohojiwa kituo cha polisi hadi maswali.ambayo hayanihusu.

Wakati.mwingine.ndiyo sababu baadhi ya watu hawawasaidii waliopata ajali.

Wahusika waangalie jambo hili.
 
Nchi hii vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi nyingi sana, lakini haziko za kiasi cha kukosa askari angalau mmoja kwa kila zahanati au hospitali.

Basi hata wale trafiki waliotolewa barabarani, angalau wapangiwe huko mahospitalini ili kutusaidia tupate huduma baada ya ajali.

Yalishanikuta na chamoto nilikiona.
 
Daah mimi pana dada mmoja aligongwa na piki piki akiwa anavuka na fahamu alipoteza ilikua alfajiri maeneo ya Njiro huko nikageuza gari nikampakia maana ilikua pick up gari za mbele zote zilikua ndogo wakizingatia damu ilikua mtihani kwao nilipomkimbiza hapo Meru hospital nikaenda Trafik kwa kweli wale jamaa walifanya haraka sana walienda kuandikia hiyo PF 3 na mambo mengine pale pale hospital tukatoka pale wao wakiwa na gari yao kuwaonyesha sehemu y ajali maana dereva wa boda alimbeba mtoto ila hawakuumia na alikimbia ila kwa msako wa pale nilipata taarifa kuwa walimkamata na yule dada alipona maana wazazi wake walinitafuta kunipa taarifa za mgonjwa na kushukuru...
 
Jambo hili linakera sana.
Fikiria mtu amepata ajali kituo A.
Hospitali ipo kituo B ambapo ni kama km.2.
Kituo cha polisi kipo kituo C ambapo ni kama km.2 au zaidi mbele ya hospitali.
Namaanisha kuwa huyu majeruhi anatakiwa apiite kwenye hospitali ambapo angepata huduma, aende mbele kwenye kituo cha polisi kutafuta fomu hiyo kisha arudi.

Hata wewe ukifanya usamaria, utahitaji kumpeleka kituo cha polisi kisha kurudi nyuma kumleta hospitalini.
Ni rahisi kufanya hili?

Mara mbili nimebeba majeruhi wa ahali lakini kila nikiwapeleka hospitali nakerwa na maswali mengi ninayohojiwa kituo cha polisi hadi maswali.ambayo hayanihusu.

Wakati.mwingine.ndiyo sababu baadhi ya watu hawawasaidii waliopata ajali.

Wahusika waangalie jambo hili.
Facts.Wabadilike
 
Daah mimi pana dada mmoja aligongwa na piki piki akiwa anavuka na fahamu alipoteza ilikua alfajiri maeneo ya Njiro huko nikageuza gari nikampakia maana ilikua pick up gari za mbele zote zilikua ndogo wakizingatia damu ilikua mtihani kwao nilipomkimbiza hapo Meru hospital nikaenda Trafik kwa kweli wale jamaa walifanya haraka sana walienda kuandikia hiyo PF 3 na mambo mengine pale pale hospital tukatoka pale wao wakiwa na gari yao kuwaonyesha sehemu y ajali maana dereva wa boda alimbeba mtoto ila hawakuumia na alikimbia ila kwa msako wa pale nilipata taarifa kuwa walimkamata na yule dada alipona maana wazazi wake walinitafuta kunipa taarifa za mgonjwa na kushukuru...
Mungu akulipe kwa wema wako🙏
 
Back
Top Bottom