nyambaterito
Member
- Aug 11, 2022
- 51
- 46
Kuna hili suala la kuwa mtu akipata ajali iwe ya kupigwa au ajali ya aina yoyote ile, inabidi apate kibali toka Polisi ndio kisha atibiwe je hii ipo sawa?
Kwanini inakuwa hivi?
Nilijaribu kuuliza sababu ni nini na jibu nalopewa ni kwa sababu za kiusalama, sasa sijui kama ni haki kumwacha mtu anateketea au kuangamia kisa kukosa tu kibali toka polisi.
Kwa upande wangu naona uwekwe utaratibu tu wa kuwapa matibabu huku mambo madogo madogo yaendelee ili kuokoa maisha ya mgonjwa.
Kwa upande mwingine nahitaji kujua ni kwanini?🙏