iko hivi mkuu, kwa mwanamke yeyote anategemewa akinyegeka vizuri basi tezi zake ziachie uteute ambao hulainisha njia. ute huu kazi yake ni kupunguza michubuko ku enhance sperm mobility na pia ina enhance pleasure like unaweza tu unafikiria mahali pakia slipery jinsi panavyotia raha.
sasa inapotokea kwamba mweza wako umemfanyia foreplay vzr hadi akakolea lkn bado uke hautoi lubricant basi huyo ni maumbile yake, kwamba kuna wanawake wengine wana ute mwingi, kuna wenye ute wa kiasi na kuna wenye ute kidogo.
sasa iwapo mwenza wako ana ute kidogo, haimnyimi fursa ya yeye kupata pleasure kwenye tendo ingawa inaweza kumfanya akachubuka kama mta prolong kitendo hicho kwa muda mrefu.
kwangu mm sidhan kama ni tatizo sana kama tu hachubuki na anapata raha iliyokusudiwa na wewe unapata raha, ila unaweza tu kuongeza hiyo lubricant artificially kwa kutumia KY-gel kama unaona kwamba kuna haja ya kufanya hivyo.
ikumbukwe kwamba mwili wa binadamu una kanuni zake binafsi hivyo basi wakati wa kudeal na mtu wa aina hii usije ukaona ni ulemavu.
hata hivyo, huwa nawashangaa sana wanaume wakipata mwenye ute mwingi watasemaa maji, mwenye kidogo watasema mkavu sasa sijui wanataka wepi.