kutotoka majimaji ya awali ni tatizo gani

chavka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
223
Reaction score
46
Natumai wote muwazima kwangu salama kabisa ila kuna jambo nimepata na nimeona kunahaja ya kubadilishana mawazo na kusaidia vijana wenzetu. Tatizo nikwamba mtu anaweza kuwa anafanya mapenzi vizuri tena kwa kumtosheleza mwenza lakini ule uteute wa awali kwake ni nadra au hutoka kwa uchache sana je tatizo nini na afanye nn ili kuondokanana na hali hiyo au ni kawaida
 
iko hivi mkuu, kwa mwanamke yeyote anategemewa akinyegeka vizuri basi tezi zake ziachie uteute ambao hulainisha njia. ute huu kazi yake ni kupunguza michubuko ku enhance sperm mobility na pia ina enhance pleasure like unaweza tu unafikiria mahali pakia slipery jinsi panavyotia raha.

sasa inapotokea kwamba mweza wako umemfanyia foreplay vzr hadi akakolea lkn bado uke hautoi lubricant basi huyo ni maumbile yake, kwamba kuna wanawake wengine wana ute mwingi, kuna wenye ute wa kiasi na kuna wenye ute kidogo.

sasa iwapo mwenza wako ana ute kidogo, haimnyimi fursa ya yeye kupata pleasure kwenye tendo ingawa inaweza kumfanya akachubuka kama mta prolong kitendo hicho kwa muda mrefu.

kwangu mm sidhan kama ni tatizo sana kama tu hachubuki na anapata raha iliyokusudiwa na wewe unapata raha, ila unaweza tu kuongeza hiyo lubricant artificially kwa kutumia KY-gel kama unaona kwamba kuna haja ya kufanya hivyo.

ikumbukwe kwamba mwili wa binadamu una kanuni zake binafsi hivyo basi wakati wa kudeal na mtu wa aina hii usije ukaona ni ulemavu.

hata hivyo, huwa nawashangaa sana wanaume wakipata mwenye ute mwingi watasemaa maji, mwenye kidogo watasema mkavu sasa sijui wanataka wepi.
 
............ au mate kupunguza michubuko!
 
Tichaaaa!!! umetulia hapa na kumwaga utaalamu wako wa kina. Maelezo haya ni msonge plus.

hahahah! BAK nikituliza kichwa huwaga nina point kweli acha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Madem vimodo wanaongoza kua na ute mwingi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nashukuru wadau maana hata mimi nilikuwa na mpango wa kuleta maada hii ili nisaidiwe,maana jana wakati tunafanya tathmin ya penzi letu kabla ya 2013 tukaahidiana tulitafutie ufumbuzi hilo suala la ukavu mwa mpenzi wangu..pia napenda kuuliza kama kuna aina ya vyakula ambavyo akivitumia vinaweza saidia? Kabla hatujaanza hizo ky gel..pia ikumbukwe mwenzi wangu yuko kanda ya kati,kama nitashauriwa kulingana na mazingira au aina ya vyakula fluni
 
iko hivi mkuu, kwa mwanamke yeyote anategemewa akinyegeka vizuri basi tezi zake ziachie uteute ambao hulainisha njia. ute huu kazi yake ni kupunguza michubuko ku enhance sperm mobility na pia ina enhance pleasure like unaweza tu unafikiria mahali pakia slipery jinsi panavyotia raha.

sasa inapotokea kwamba mweza wako umemfanyia foreplay vzr hadi akakolea lkn bado uke hautoi lubricant basi huyo ni maumbile yake, kwamba kuna wanawake wengine wana ute mwingi, kuna wenye ute wa kiasi na kuna wenye ute kidogo.

sasa iwapo mwenza wako ana ute kidogo, haimnyimi fursa ya yeye kupata pleasure kwenye tendo ingawa inaweza kumfanya akachubuka kama mta prolong kitendo hicho kwa muda mrefu.

kwangu mm sidhan kama ni tatizo sana kama tu hachubuki na anapata raha iliyokusudiwa na wewe unapata raha, ila unaweza tu kuongeza hiyo lubricant artificially kwa kutumia KY-gel kama unaona kwamba kuna haja ya kufanya hivyo.

ikumbukwe kwamba mwili wa binadamu una kanuni zake binafsi hivyo basi wakati wa kudeal na mtu wa aina hii usije ukaona ni ulemavu.

hata hivyo, huwa nawashangaa sana wanaume wakipata mwenye ute mwingi watasemaa maji, mwenye kidogo watasema mkavu sasa sijui wanataka wepi.

KY jelly wengi zinawashinda wanajisahau ndude inateleza inapitia kwa nyuma
 
nashukuru wadau maana hata mimi nilikuwa na mpango wa kuleta maada hii ili nisaidiwe,maana jana wakati tunafanya tathmin ya penzi letu kabla ya 2013 tukaahidiana tulitafutie ufumbuzi hilo suala la ukavu mwa mpenzi wangu..pia napenda kuuliza kama kuna aina ya vyakula ambavyo akivitumia vinaweza saidia? Kabla hatujaanza hizo ky gel..pia ikumbukwe mwenzi wangu yuko kanda ya kati,kama nitashauriwa kulingana na mazingira au aina ya vyakula fluni

Wakati mwingine ukavu husababishwa na aina ya njia ya uzazi wa mpango anayotumia.Na tatizo hili huwakumba wengi wanaotumia sindano.
TIBA
Apende kula nyanyachungu(NGOGWE) Mara kwa mara au ndizi laini za kupika
 
iko hivi mkuu, kwa mwanamke yeyote anategemewa akinyegeka vizuri basi tezi zake ziachie uteute ambao hulainisha njia. Ute huu kazi yake ni kupunguza michubuko ku enhance sperm mobility na pia ina enhance pleasure like unaweza tu unafikiria mahali pakia slipery jinsi panavyotia raha.

Sasa inapotokea kwamba mweza wako umemfanyia foreplay vzr hadi akakolea lkn bado uke hautoi lubricant basi huyo ni maumbile yake, kwamba kuna wanawake wengine wana ute mwingi, kuna wenye ute wa kiasi na kuna wenye ute kidogo.

Sasa iwapo mwenza wako ana ute kidogo, haimnyimi fursa ya yeye kupata pleasure kwenye tendo ingawa inaweza kumfanya akachubuka kama mta prolong kitendo hicho kwa muda mrefu.

Kwangu mm sidhan kama ni tatizo sana kama tu hachubuki na anapata raha iliyokusudiwa na wewe unapata raha, ila unaweza tu kuongeza hiyo lubricant artificially kwa kutumia ky-gel kama unaona kwamba kuna haja ya kufanya hivyo.

Ikumbukwe kwamba mwili wa binadamu una kanuni zake binafsi hivyo basi wakati wa kudeal na mtu wa aina hii usije ukaona ni ulemavu.

Hata hivyo, huwa nawashangaa sana wanaume wakipata mwenye ute mwingi watasemaa maji, mwenye kidogo watasema mkavu sasa sijui wanataka wepi.
liiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikkkkkkkkkkkeeeeeeeeeeeeeeeeee it
 
nashukuru wadau maana hata mimi nilikuwa na mpango wa kuleta maada hii ili nisaidiwe,maana jana wakati tunafanya tathmin ya penzi letu kabla ya 2013 tukaahidiana tulitafutie ufumbuzi hilo suala la ukavu mwa mpenzi wangu..pia napenda kuuliza kama kuna aina ya vyakula ambavyo akivitumia vinaweza saidia? Kabla hatujaanza hizo ky gel..pia ikumbukwe mwenzi wangu yuko kanda ya kati,kama nitashauriwa kulingana na mazingira au aina ya vyakula fluni
maziwa mtindi,pia kwa wingi bamia na nyanya chungu,Km unazijua mbigili(dawa hii hu2miwa sn na wahaya)tafta majani yake uchemshe halaf unywe glasi 1*2. PIA asali, wine
 
hehehe, karibia unamkuta mama terry na boss wake MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
iko hivi mkuu, kwa mwanamke yeyote anategemewa akinyegeka vizuri basi tezi zake ziachie uteute ambao hulainisha njia. ute huu kazi yake ni kupunguza michubuko ku enhance sperm mobility na pia ina enhance pleasure like unaweza tu unafikiria mahali pakia slipery jinsi panavyotia raha.
sasa inapotokea kwamba mweza wako umemfanyia foreplay vzr hadi akakolea lkn bado uke hautoi lubricant basi huyo ni maumbile yake, kwamba kuna wanawake wengine wana ute mwingi, kuna wenye ute wa kiasi na kuna wenye ute kidogo.
sasa iwapo mwenza wako ana ute kidogo, haimnyimi fursa ya yeye kupata pleasure kwenye tendo ingawa inaweza kumfanya akachubuka kama mta prolong kitendo hicho kwa muda mrefu.
kwangu mm sidhan kama ni tatizo sana kama tu hachubuki na anapata raha iliyokusudiwa na wewe unapata raha, ila unaweza tu kuongeza hiyo lubricant artificially kwa kutumia KY-gel kama unaona kwamba kuna haja ya kufanya hivyo.
ikumbukwe kwamba mwili wa binadamu una kanuni zake binafsi hivyo basi wakati wa kudeal na mtu wa aina hii usije ukaona ni ulemavu.
hata hivyo, huwa nawashangaa sana wanaume wakipata mwenye ute mwingi watasemaa maji, mwenye kidogo watasema mkavu sasa sijui wanataka wepi.
umesomea au mbna una maneno mazuri kama ...
 
asante sana kwa hilo. ila hizi sifa zitanipasua kichwa lol!

Hizo ni point tupu si unajua kwenye maisha yetu ya kila siku watu hawapo wazi kukupatia elimu kama hii lakini kupitia humu watu wanafunguka tu kama unavyotoa wewe nondo, unajua unaweza ukawa hujui kabisa kitu lakini ukisoma maelezo ya mtu yanakufanya uelewe pasipo shaka yoyote
 
Back
Top Bottom