Kutovaa barakoa nalo tamko la kisiasa?

Kutovaa barakoa nalo tamko la kisiasa?

Nadhani tatizo lako sio Mimi, na tatizo lako pia siyo Mungu, Ila mungu,

Kama shida yako ni mungu uko Sawa, lakini kama shida yako itakuwa ni Mungu/MUNGU basi unautani mbaya Sana mkuu na sikuwezi

Na stakufuatilia tena hizi michango yako, Asante
Mnakosea sana kulitaja jina tukufu la Mungu wako, katika masuala ambayo mnajua fika yana uongo na ulaghai.
Na mnajua fika kuwa uongo na ulaghai ni ngome ya Ibilisi.
Ole wenu.
 
View attachment 1707080

Sayansi huwa haikopeshi.
Ukiichezea inakuumbua, maana sayansi kama Mungu alivyo, sayansi ni UKWELI.
Hatuwezi kuudhibiti ukweli, hata uwe na nguvu kubwa sana ya kisiasa.

Tunajua kuwa kuna tatizo kubwa sasa hivi la vifo vinavyo sababishwa na changa moto ya kupua.
Wewe ita nimonia (pneumonia), lakini wengine wanakuwa wakweli kusema ni covid10.

Tatizo ni kwamba iwe nimonia au covid lakini LINAUA.
Tukilijua hilo ambalo ni elimu kubwa sasa turudi kwenye jinsi ya kulidhibiti.

Tukijua kuwa gonjwa hilo linasambazwa na hewa, na kinga rahisi kuliko zote ni barakoa, kwanini wananchi wasihamasishwe kwa nguvu zote kujikinga na hilo gonjwa?

Viongozi wa juu wengi wanakufa kwa kukosa maarifa.
Kwa nini hawavai barakoa na kuchukulia kitendo cha kuvaa au kutovaa barakoa kuwa tamko la kisiasa?
Rais Magufuli kasema hajazuia watu kuvaa barakoa.
 
Asante JPM kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom