Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

Kutuma pesa kutoka Sweden kuja Tanzania

makato yao ukituma hela yakoje?

Madam Mwajuma

Ukitumiwa USD 500 kwa mfano toka US basi estimation itakuwa USD 9.99. Yaani hiyo ndiyo kiasi atakachotozwa sender kama matumizi ya huduma MoneyGram. Hii ni estimation inaweza ikapanda au kushuka inategemea uimara/udhaifu kati ya dola na fedha yetu ya madafu (local currency).
 
Mimi niko Iceland mkuu, natuma pesa TZ.. Moneygram au Western Union Tofauti ya gharama ndogo sana...
 
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
You may try Skrill,sasa hivi ninaona wame-add hata option ya ku-withdraw via Visa card/MasterCard.So,atachukua kwenye ATM yoyote inayosupport Visa/MasterCard
 
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani

Leo nimejaribu kutuma pesa kutoka Denmark kwenda Tanzania na WorldRemit nimemtumia mtu kwenye akaunti yake ya Tigopesa na pesa imefika bila tatizo lolote.
 
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
mwambie unayemtumia aende benki achukue Swift number/ BCC branch name, na account number. wewe lazima una online benking kwa hiyo unaweza tuma pesa wakati unakunywa kahawa kwenye kwako na tv. rate za benki ni poa kuliko hao western union na gharama zake ni ndogo sana. siku mbili tatu maximum jamaa anadaka bongo mzizi wa fitina unapotea.
 
Mkuu upo nchi gani,mm nipo Denmark uku rate za Benki zipo chini sana,mm kawaida natumaga pesa na West Union rate imakuwaga 1 Danish Kroner 306. Ila jana nimejaribu kutuma na WorldRemit 1 Danish Kroner 318 na pesa ime enda moja kwa moja kwenye Tigopesa,simple like that.
 
iyo inategemea na rate huwa zinabadilika kila siku! kwa amount za kawaida ofcourse ni nzuri, ila kama unamtumia mtu kitita aende kubeba sehemu inakuwa mtihani kuzunguka na pesa mji wetu umeharibika siku hizi wau macho nje nje. siku hizi hamna haja ya pesa mkononi, hata manunuzi mengi makubwa watu wanafanya transfer tu. ila ni kweli iyo nzuri pia
 
Du hii ndio sababu napenda social media zenye kusaidia na kutatua matatizo kwa kubadilishana experience, nimeweza tuma pesa kwenda Bongo salama salmini kwa kutumia WorldRemit, na habari hizo nilizipata humu kwenye uzi huu. Safi sana na shukrani sana.
 
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
You may use worldremit.they are very effective huwa natuma hela straight to Mpesa. So msheku kule kijijini anazipata in real time endapo network iko poa. Am lovin it!
 
Kuna bank moja Stockholm swedsbank unadepost kama unadepost kawaida. Ila unaemtumia akiwa nbc inafika three days anaweza chukua zip code swift code akaziombe bank akutumie ztakusaidia
 
Back
Top Bottom