Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Money gram the best ever natumia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Money gram gharama za kutuma ziko juu. Mie ningekushauri western unionUkiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
Nimefanya hivyo imekataa mkuu,ttz itakuwa nn mkuu?Yes thus right namba 9 bila 0 then unairudia....sababu +255 is automatic set up
Tumia MoneyGram.......huduma poa sana. Mimi huwa naitumia sana MoneyGram kupokea chapaa
makato yao ukituma hela yakoje?
Huyo Ria ajent anakuwaje hebu tupe maelekezo inakuwaje...? Kama mtu uko Stockholm...?Tumia Ria agent kama unakaa miji mikubwa like Stockholm au Malmö
Huyo Ria ajent anakuwaje hebu tupe maelekezo inakuwaje...? Kama mtu uko Stockholm...?Tumia Ria agent kama unakaa miji mikubwa like Stockholm au Malmö
uko Sweden ya wapi?Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
You may try Skrill,sasa hivi ninaona wame-add hata option ya ku-withdraw via Visa card/MasterCard.So,atachukua kwenye ATM yoyote inayosupport Visa/MasterCardUkiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
mwambie unayemtumia aende benki achukue Swift number/ BCC branch name, na account number. wewe lazima una online benking kwa hiyo unaweza tuma pesa wakati unakunywa kahawa kwenye kwako na tv. rate za benki ni poa kuliko hao western union na gharama zake ni ndogo sana. siku mbili tatu maximum jamaa anadaka bongo mzizi wa fitina unapotea.Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani
mwambie unayemtumia aende benki achukue Swift number/ BCC branch name, na account number. wewe lazima una online benking kwa hiyo unaweza tuma pesa wakati unakunywa kahawa kwenye kwako na tv. rate za benki ni poa kuliko hao western union na gharama zake ni ndogo sana. siku mbili tatu maximum jamaa anadaka bongo mzizi wa fitina unapotea.
Mkuu upo nchi gani,mm nipo Denmark uku rate za Benki zipo chini sana,mm kawaida natumaga pesa na West Union rate imakuwaga 1 Danish Kroner 306. Ila jana nimejaribu kutuma na WorldRemit 1 Danish Kroner 318 na pesa ime enda moja kwa moja kwenye Tigopesa,simple like that.
You may use worldremit.they are very effective huwa natuma hela straight to Mpesa. So msheku kule kijijini anazipata in real time endapo network iko poa. Am lovin it!Ukiacha western union, Kuna huduma yoyote ya kutuma pesa kuctoka sweden kuja Tanzani