Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
hujui hata kulinganisha JPM aliua watu huko MKIRU unakumbuka? wamepotea kina ben sanane na Anzory gwanda unakumbuka?Hivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!
umeweka heading bila hojaKila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Zitto Kabwe alisema kuna "Dark Forces". 😀😀😀😀😀.Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Wewe pimbi tu! Unaushahidi nenda Mahakamani si yupo Samia muungwana? Kazi yenu kuokoteza maneno ulishawahi kuona utawala ambao watu hawauani au kupatikana wamekufa? Nikuulize vipi ile miili iliyopatikana mwezi jana Tanga alikwa imetupwa kwenye mifuko aliyewaua ni Samia?hujui hata kulinganisha JPM aliua watu huko MKIRU unakumbuka? wamepotea kina ben sanane na Anzory gwanda unakumbuka?
Lisu alimiminiwa risasi mchana kama jambazi unakumbuka?
unamlinganisha JPM kiongozi fedhuli na Samia muungwana?
Wapeleke MIGA.Shahidi yako awe Kabudi.Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Siku hizi mtaani kuna vilio kibao kisingizio ni panya lord,endelea kulamba buyu la asali tunenda chato, kamfufue Uzikwe wewe. vinginevyo ni kelele tu.
unamtofautisha mtu aliye ua, kutesa na kupoteza watu bila sababu na mama wa watu muungwana na mpenda haki yule
unatia kinyaa
Pumbavu wewe, kahesabu kule umasainiHivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!
Maguf
Sio kweli mkuu. Kuna watu wengi tu walisimamishwa kazi wakiendelea kupokea mishahara kama kawaida hawa walionewa. Baadae wamerudishwa kazini, hasara ya serikali.uli alikua akizingatia sana taarifa za wataalam wetu.
Ni wachache sana walionewa kipindi chake.
Maamuzi yake mengi yalikuwa sahihi.
Sote tunashuhudia sasa.
Team JPM katika ubora wa maoni ya JF. Makamba unayemuona hafai yule aliyemuapisha anaijua kazi yake. Nape ni siasa zile zile za Team Makonda awamu ya tano.Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Team JPM katika ubora wa maoni ya JF. Makamba unayemuona hafai yule aliyemuapisha anaijua kazi yake. Nape ni siasa zile zile za Team Makonda awamu ya tano.
Umeandika ukiwa na machungu moyoni.
Team JPM katika ubora wake wa mapenzi upofu. Umekaririshwa ubaya wa watu na wewe kama kondoo umeyachukua akilini yote uliyoyasikia.hivi unatumia makalio au tumbo kumtetea nape na makamba!!
ant magufuli mnapenda kuponda wanaomuunga mkono lakini hoja zenu ni za kuunga unga kudhihirisha ubaya wake.
Hao panya road na majambazi wapigwe tu za kichwa hawana la maana!!Hivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!
Tz hatuna uraia pacha, ukishachukua uraia wa nchi nyingine uraia wa tz unakoma. Timu ya uteuzi inatakiwa kuwajibishwa ilikuwaje asijue kuwa liberator is no longer a Tanzanian!!!Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?
Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?
Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.
Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!
Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
mimi ni team jpm haswaa tena usijejaribu kumpaka harufu zenu za kishenzi bakini nazo.Team JPM katika ubora wake wa mapenzi upofu. Umekaririshwa ubaya wa watu na wewe kama kondoo umeyachukua akilini yote uliyoyasikia.
JPM hakuwa malaika mkuu, tambua ukweli huo. Alizuia vyombo vya habari akaruhusu vile tu vyenye kumpamba yeye pekee, huo ni udhaifu mpana sana kwa kiongozi anayetaka akumbukwe kwa mema anayofanyia TZ.mimi ni team jpm haswaa tena usijejaribu kumpaka harufu zenu za kishenzi bakini nazo.
hawa tunaowananga hapa haihitaji elimu ya unajimu kuona uzito wao.
mtu anakwenda kugawa mitungi ya gesi kijijini eti anakwamua akina bibi na changamoto za nishati😂😂😂