Kutumbuliwa kwa Mulamula na kusuasua kwa Nape na Makamba, Hayati Magufuli alikuwa na maono

Hivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!
hujui hata kulinganisha JPM aliua watu huko MKIRU unakumbuka? wamepotea kina ben sanane na Anzory gwanda unakumbuka?
Lisu alimiminiwa risasi mchana kama jambazi unakumbuka?
unamlinganisha JPM kiongozi fedhuli na Samia muungwana?
 
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?

Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?

Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
umeweka heading bila hoja

hebu kaa chini uandike hoja tujadili na siyo porojo
 
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?

Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?

Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Zitto Kabwe alisema kuna "Dark Forces". 😀😀😀😀😀.
Mtu kama Zitto ndio anakuja kujua Dark Forces baada ya Shaibu kukosa ubunge wa EALA 😀😀😀😀.
Alitakiwa kujua kwamba kuna vitu ni irreversible katika nchi bila kujali tamaa na matamanio ya wanasiasa fulani. Vingine vinaweza kubatilishwa lakini vingine haiwezekani.
 
hujui hata kulinganisha JPM aliua watu huko MKIRU unakumbuka? wamepotea kina ben sanane na Anzory gwanda unakumbuka?
Lisu alimiminiwa risasi mchana kama jambazi unakumbuka?
unamlinganisha JPM kiongozi fedhuli na Samia muungwana?
Wewe pimbi tu! Unaushahidi nenda Mahakamani si yupo Samia muungwana? Kazi yenu kuokoteza maneno ulishawahi kuona utawala ambao watu hawauani au kupatikana wamekufa? Nikuulize vipi ile miili iliyopatikana mwezi jana Tanga alikwa imetupwa kwenye mifuko aliyewaua ni Samia?
Wakati wa Kikwete Dr Ulimboka alitekwa,Mwandishi Mwangosi aliuawa,Dr Mvungi alipigwa risasi na waharifu getini nyumbani kwake Mchungaji Mtikila alikufa kifo cha kutatanisha,Mwanasiasa Chacha Wangwe aliuawa kwa ajali!,Mapomu arusha kwenye mkutano wa chadema watu watano walikufa na ujambazi kila kona ya nchi!
Ulishawahi kumshutumu Kikwete kuhusika na haya mauaji kwenye utawala wake?
Je kigezo gani kinakufanya uone Magufuli alihusika na mauaji na Kikwete hakuhusika nayo?
Je vifo vinayotokea kwa sasa kama cha ile miili iliyopatikana tanga kwenye viroba na mauaji wa wafanya biashara kule mtwara Samia anahusika? Kama hausiki kwa nini?
Msiwe watu wa kuhukumu na mihemko huku mmejaa chuki za kidini na kikabila bila sababu za msingi!
Tanzania ni yetu sote si yawanasiasa na wnaaharakati!
 
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?

Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?

Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Wapeleke MIGA.Shahidi yako awe Kabudi.
 
Hivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!
Pumbavu wewe, kahesabu kule umasaini
 
uli alikua akizingatia sana taarifa za wataalam wetu.

Ni wachache sana walionewa kipindi chake.

Maamuzi yake mengi yalikuwa sahihi.

Sote tunashuhudia sasa.
Sio kweli mkuu. Kuna watu wengi tu walisimamishwa kazi wakiendelea kupokea mishahara kama kawaida hawa walionewa. Baadae wamerudishwa kazini, hasara ya serikali.

Kuna watu miaka yote mitano na miezi michache ya JPM pale ikulu, walikamatwa na kuwekwa ndani bila ya kuwafungulia kesi ya aina yoyote. Ni SSH ndiye amewaachia huru.

Kuna dhambi ya uonevu ilifanyika awamu ya tano lakini Mungu husamehe mara zote anapopigiwa magoti na waja wake.
 
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?

Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?

Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Team JPM katika ubora wa maoni ya JF. Makamba unayemuona hafai yule aliyemuapisha anaijua kazi yake. Nape ni siasa zile zile za Team Makonda awamu ya tano.

Umeandika ukiwa na machungu moyoni.
 
hivi unatumia makalio au tumbo kumtetea nape na makamba!!

ant magufuli mnapenda kuponda wanaomuunga mkono lakini hoja zenu ni za kuunga unga kudhihirisha ubaya wake.
 
Team JPM katika ubora wake wa mapenzi upofu. Umekaririshwa ubaya wa watu na wewe kama kondoo umeyachukua akilini yote uliyoyasikia.
 
Hivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!
Hao panya road na majambazi wapigwe tu za kichwa hawana la maana!!

Kama hawawezi kula kwa jasho wanategemea ujambazi risasi za moto haki yao!!

Kwa hili jeshi la polisi nalipa heko,, ukikamata jambazi hakuna mjadala piga za kichwa!! Hatuwezi kufuga majambazi ndani ya nchi!!
 
Kila kilichokataliwa na Magufuli kitabaki vilevile na kila kilichoinuliwa na Magufuli kitabaki vilevile. Iko wapi bandari ya Bagamoyo?

Kuhusu uwanja wa ndege Chato je? Vipi kuhusu waliopinga serikali kuhamia Dodoma? Vipi kuhusu utendaji wa Nape, Nchemba na Makamba kwa sasa?

Ikumbukwe, hata Hayati Magufuli alimtema huyo mtu Liberata Mulamula baada ya kugundua siyo mwaminifu na anao uraia wa USA na Tanzania.

Hoja hapa ilikuwaje Samia alishupaza kichwa na kumteua mtu asiye mwaminifu kwa Taifa letu na huenda ni asset wa Taifa lake pacha?!

Picha hapo chini zinajieleza bayana ni nani athaminiwaye kuliko mwenzake na mabeberu.
Tz hatuna uraia pacha, ukishachukua uraia wa nchi nyingine uraia wa tz unakoma. Timu ya uteuzi inatakiwa kuwajibishwa ilikuwaje asijue kuwa liberator is no longer a Tanzanian!!!
 
Team JPM katika ubora wake wa mapenzi upofu. Umekaririshwa ubaya wa watu na wewe kama kondoo umeyachukua akilini yote uliyoyasikia.
mimi ni team jpm haswaa tena usijejaribu kumpaka harufu zenu za kishenzi bakini nazo.

hawa tunaowananga hapa haihitaji elimu ya unajimu kuona uzito wao.
mtu anakwenda kugawa mitungi ya gesi kijijini eti anakwamua akina bibi na changamoto za nishati😂😂😂
 
JPM hakuwa malaika mkuu, tambua ukweli huo. Alizuia vyombo vya habari akaruhusu vile tu vyenye kumpamba yeye pekee, huo ni udhaifu mpana sana kwa kiongozi anayetaka akumbukwe kwa mema anayofanyia TZ.

Hakuwa na kifua cha kuvumilia kusikia kauli asizozipenda hivyo pengine hawa wanaoshambuliwa kwa sasa ukichunguza kwa kina utagundua ni matokeo ya uwepo wa uhuru wa kutoa maoni (free speech).
 
Back
Top Bottom