Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
hujui hata kulinganisha JPM aliua watu huko MKIRU unakumbuka? wamepotea kina ben sanane na Anzory gwanda unakumbuka?Hivi tokea Samia aingie wameshakufa watu wangapi? Wale vijana waliopotea wa hapo kariakoo,yule jama aliyeuawa wa madini kule mtwara na mauaji kibao wa panya road na majambazi huyaoni? Au nchi hii wanasiasa tu ndo binadamu amina Lisu? Stupid!
Lisu alimiminiwa risasi mchana kama jambazi unakumbuka?
unamlinganisha JPM kiongozi fedhuli na Samia muungwana?