Kutumia bil. 600 kwenye sensa ni ufisadi

Unahesabu karani na nyumba zenu tisa tu?

Vipi kuhusu, kuandaa dodoso, kuandaa vitabu vya kufundishia, kabrasha, kulisha na kulipia kumbi, kuwalipa wawezeshaji, ni mengi

Hapo hapo wapo waongeza 0
hayo yote ndiyo yanaunda mfumo tata wa rushwa. Unatumia 98% ya bajeti kwa mizengwe kwa ajili ya kufanya project yenye thamani ya 2%
 
Hakuna kalani wa kukamilisha kuhoji kaya ya watu 9 ndani ya dk 5.Minimumu ni 30 minutes vinginevyo kalani kalipua ka
Kwenye watu 9 wawili walikuwa watoto wa shule ya msingi mmoja kidato cha tano mmoja mtoto wa miaka 4 hajaanza shule hawa hawana taarifa nyingi sana.Ata taarifa za Sisi wakubwa hazikuwa nyingi kivile mkuu.
 
Tuwe serious Mimi nyumbani kwangu Nina mke mmoja na watoto wawili nimeulizwa maswali yanayozidi mia na nimejibu Kwa Kasi Lakini tumetumia saa Moja na dk 7
 
Tanzania bado tuna safari ndefu. Suala la sensa lingeweza kufanywa na viongozi wa sehemu husika kwa gharama ya chini sana kuliko hii kubwa ya zaidi ya bilioni 600.
Suala nyeti Kama sensa unalirahisisha hivyo!!..acha ujinga
 
Sasa Mkuu unashangaa nini kutumika hiyo pesa wakati Sasa hivi kikosi Cha wapigaji kimerejea kitalani.
 
Tena uliotopea, watalijibu hili wakati ukifika
 
Tuwe serious Mimi nyumbani kwangu Nina mke mmoja na watoto wawili nimeulizwa maswali yanayozidi mia na nimejibu Kwa Kasi Lakini tumetumia saa Moja na dk 7
Mmh! Maswali mia?

Binafsi nimeulizwa maswali hata ayazidi 5
 
Baada ya zoezi hizo tablets zitaenda wapi zitakuwa mali ya nani ? Au serikali watazitumia kufanyia kazi gani?
 
Mmh! Maswali mia?

Binafsi nimeulizwa maswali hata ayazidi 5
Tena ningechukuwa mda mrefu kama nisingeandaa majibu maswali yalitoka mda mrefu orodha nilikuwa nayo ,ilisaidia kuokoa mda
 
Wewe ulitaka watumie Bei gani?
 
Mm nakwambia wacha kwanza linchi liendeshwe hovyo hvhv yawezekana wenye akili wakaja maana wamejificha na vilaza wenye ulafi uliopitiliza ndio wanaotuongoza kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…