Sababu inaweza hii:
Cpp ni language ngumu, syntax zake ngumu ambapo inampa mwanafunzi nafasi ya kujifunza OOP language intensively na seriously.
Kutokea hapo mwanafunzi anaweza kushika language zingine kirahisi sana.
Cpp ni Low level programming language, kwa maana hiyo ni language ambayo ipo karibu zaidi na Machine language . Ndio maana hata drivers nyingi zinakuwa coded kwa cpp.
Language ambazo zipo kama human language (chukulia mfano python au vb) zinamfanya programmer kutoelewa in detail, what is happening behind the source code.
Hayo mawazo yangu π
Shida siyo C++ shida ni kufundisha AI KWA C++, wakati kuna PYTHON, na wakati huo wanaofundishwa hiyo course ufunfishwa C++ mwanzoni kabisa yaani niseme mwaka wa kwanza C++ na C kwa vyuo vyote ni lazima wanafunzi waanze na hiyo sasa shida ni kuwa AI inaweza fundishwa semester ya 5 Cha ajabu bado watu wanafundishwa kwa C++, Ina maana bado wanafunzi hawafahamu hiyo C++ ?, Walipitaje semester ya juu?, Hapa ndo tunapo potea.C++ is very fast and therefore best suited for projects where time and speed are sensitive and it's very efficient in the use of algorithms.
Python is easier to learn and has a lot of open source packages for the same but it's not a low level PL thus not as fast as C++
Ina maana bado wanafunzi hawafahamu hiyo C++ ?
kwanini?
Hii ni wrong approach.Sababu inaweza hii:
Cpp ni language ngumu, syntax zake ngumu ambapo inampa mwanafunzi nafasi ya kujifunza OOP language intensively na seriously....
Hii ubadili isomeke hivi,Python ni just the upper layer ya hizo library.
Kama mwalimu anawandaa muendelee kutumia Tools zilizokwisha kuwa developed then mfundishwe kwa Python ila kama mna dream kuwa na your own serious libraries basi C++ haikwepeki.
Hii ubadili isomeke hivi,
Kama mwalimu anawandaa wanafunzi waendelee kutumia Tools zilizokwisha kuwa developed then wafundishwe kwa Python ila kama wana dream kuwa na their own serious libraries basi C++ haikwepeki.
Halafu nakuuliza;
Baada ya wanafunzi/wataalamu kutengeneza libraries zao nani atakayetumia?, Maana kuna zilizotengenezwa na zinafundishwa uko nje kwani zikifundishwa njia zote kuna shida?
Hii ni wrong approach.
Ukiendelea hivi utataka kila mtu a code machine language in binary.
Kitu muhimu ni watu kujua wanataka ku specialize wapi. Hata kwenye programming kuna specialization.
Kwa approach hii unaweza kutaka mtu atembee kwa mguu badala ya kupanda gari, kwa sababu kutembea kwa mguu ni kugumu zaidi na kutamfundiaha mtu njia vizuri ili akipata usafiri wowote awe anaijua njia.
Wakati siku hizi kuna magari na GPS.
Moja ya attraction ya Python over C++ ni urahisi wa Python relatively.
Sasa kama kitu Python kinaweza kufanywa kwa Python kirahisi na lines chache za code, kikaeleweka kirahisi zaidi, kikawa na less overheads kwenye runtime, kwa nini tubaki kwenye C++?
Programming has to be practical.
Watu wanaotaka kutumia existing libraries nq kucheza na APIs tu probably hawahitaji C++.
Watu wanaotaka ku design and code a brand new Operating System for example, probably watqhitqji C++.
Kitu muhimu ni kujua use case yako.Rahisi ni ngumu pia kwa upande mwingine.
Chukulia mfano mtu anayejifunza mobile app development kwa kutumia FLUTTER,. Hata kama atakuwa mbobezi kiasi gani hawezi kuwa competitive kama aliyejifunza Java au kotlin au c#.
Mwanafunzi anaweza kujifunza lugha iliyorahisishwa sana, na akaielewa vizuri darasani lakini huko anapoenda kwenye real world application akakuta mahitaji ni complex zaidi na angetakiwa kujua zaidi ya kuImport libraries.
Ukijua low level language kama hii unakuwa sio limited katika AI, bali utakuwa muelewa wa OOP language zingine kirahisi sana., Na cpp ni language inayokuwa kwa kasi sana.
Au kutaka kuua mbu kwa bunduki πKitu muhi.u ni kujua use case yako.
Usije kutengeneza bomu la nyukia, ili uue nzi.
πππMbona Kwa internet programming students are taught HTML and JavaScript badala ya WSYIWYG editors or CMS? in IT it's the what,how and why,huku nje if you want to design a website unatumia CMS,it has the underlying principles of HTML and scripting,you don't use notepad,but you learnt to code on notepad,you must go to the underlying basics to be an expert,with HTML basics you are able to manipulate your CMS,the same applies to AI,if you need your own package or function in Python,it becomes easier to design one and manipulate the existing packages if you have the what,how and why
Weka course contents kwanza ka ilivyo kwenye syllabus tuone kwanza...Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course?
Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa.
Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other issues tena kwa C++, why mnadeal na vector na text feature pekee.
Labda sijaeleweka ila tutaelewana mbele kwa mbele ninachoomba Muanze kutumia PYTHON KWENYE HIYO COURSE YA AI na si vinginevyo. Itakuwa poa sana.
Jaribuni kwenda na wakati.