Kutumia C++ wakati wa course ya Artificial intelligence haifai tena, hebu walimu wa vyuo mnaohusika mbadilike

Fuckin piece of shit.

Naona hadi aibu sijui kwa nini nilikujibu mwanzoni. Too childish...
Mimi nataka kukueleza why nimeleta uzi huu, unatukana anyway ngoja tuendelee kusikiliza wengine maana uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo huenda ungejibu kama nilivyokuuliza ungetambua why sipendi watu waendelee na C++ IN AI anyway siku njema.

Nachoshangaa sijashuudia solution za AI kwa C++ hapo nyumbani.
 
C++ is very fast and therefore best suited for projects where time and speed are sensitive and it's very efficient in the use of algorithms.

Python is easier to learn and has a lot of open source packages for the same but it's not a low level PL thus not as fast as C++
Nothing is faster than C, Assembly?😀😀
 
Me sijaona faida ya OOP zaidi ya kupoteza time tuu. tena kwa language kama java OOP based
Mkuu OOP inafaida kubwa munoooooo, ili nikueleze niambie je, umewahi fanya project yoyote au hata kuandika viproject vidogo kwa OOP at the same time nyingine ukaandika kwa kutumia PP(PROCEDURAL PROGRAMMING)?

Kama ushajaribu utaiona faida kama bado jaribu.

I'm also doing web services (SOAP and REST with java).
 
Yeap projects nimeshafanya i use C plain over C++, kwenye oop kitua chenye fainda kidogo nmeona ni Classes, object, inheritance and maybe polymorphism but even kwenye C tuna user Defined data types kama Structures they are very much like Classes
 
Hiyo faida kidogo ,serves alot of purposes, especially inheritance,polymorphism, when dealing with large projects,the need to rewrite the same function or module is eliminated and this greatly reduces the development time by reusing existing functions.
 
Uzi kama huu unaweza fikisha 100 replies baada ya miezi 6. Coding ni passion . Na C++ inarahisisha inasaidia kuelewa OOP in details
Mpaka leo ni miez nane lakin replies ni 55 na yangu ni ya 56 tena mimi mwenyewe ni msoma comments tu za programmers
 
C++ is very fast and therefore best suited for projects where time and speed are sensitive and it's very efficient in the use of algorithms.

Python is easier to learn and has a lot of open source packages for the same but it's not a low level PL thus not as fast as C++
Vp kuhusu C# zao la C++?
 
Back
Top Bottom