Mimi nataka kukueleza why nimeleta uzi huu, unatukana anyway ngoja tuendelee kusikiliza wengine maana uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo huenda ungejibu kama nilivyokuuliza ungetambua why sipendi watu waendelee na C++ IN AI anyway siku njema.Fuckin piece of shit.
Naona hadi aibu sijui kwa nini nilikujibu mwanzoni. Too childish...
Nothing is faster than C, Assembly?😀😀C++ is very fast and therefore best suited for projects where time and speed are sensitive and it's very efficient in the use of algorithms.
Python is easier to learn and has a lot of open source packages for the same but it's not a low level PL thus not as fast as C++
Me sijaona faida ya OOP zaidi ya kupoteza time tuu. tena kwa language kama java OOP basedUzi kama huu unaweza fikisha 100 replies baada ya miezi 6. Coding ni passion . Na C++ inarahisisha inasaidia kuelewa OOP in details
Nothing is faster than C, Assembly?😀😀
Mkuu OOP inafaida kubwa munoooooo, ili nikueleze niambie je, umewahi fanya project yoyote au hata kuandika viproject vidogo kwa OOP at the same time nyingine ukaandika kwa kutumia PP(PROCEDURAL PROGRAMMING)?Me sijaona faida ya OOP zaidi ya kupoteza time tuu. tena kwa language kama java OOP based
Yeap projects nimeshafanya i use C plain over C++, kwenye oop kitua chenye fainda kidogo nmeona ni Classes, object, inheritance and maybe polymorphism but even kwenye C tuna user Defined data types kama Structures they are very much like ClassesMkuu OOP inafaida kubwa munoooooo, ili nikueleze niambie je, umewahi fanya project yoyote au hata kuandika viproject vidogo kwa OOP at the same time nyingine ukaandika kwa kutumia PP(PROCEDURAL PROGRAMMING)?
Kama ushajaribu utaiona faida kama bado jaribu.
I'm also doing web services (SOAP and REST with java).
Yeap projects nimeshafanya i use C plain over C++, kwenye oop kitua chenye fainda kidogo nmeona ni Classes, object, inheritance and maybe polymorphism but even kwenye C tuna user Defined data types kama Structures they are very much like Classes
Aisee..!!But remember c++ is very closely to the hardware so you can easily damage your computer if you do something stupidly
Lol!Aisee..!!
wachache sana watakuelewa hapauser Defined data types kama Structures they are very much like Classes
haha aisee... nilikua na project moja tulitumia Chilkat na modules nyingine tulitumia Boost hizo library ni very helpful aisee project ilienda vizuri bila kuumiza sana kichwawachache sana watakuelewa hapa
Mpaka leo ni miez nane lakin replies ni 55 na yangu ni ya 56 tena mimi mwenyewe ni msoma comments tu za programmersUzi kama huu unaweza fikisha 100 replies baada ya miezi 6. Coding ni passion . Na C++ inarahisisha inasaidia kuelewa OOP in details
Vp kuhusu C# zao la C++?C++ is very fast and therefore best suited for projects where time and speed are sensitive and it's very efficient in the use of algorithms.
Python is easier to learn and has a lot of open source packages for the same but it's not a low level PL thus not as fast as C++
Vp kuhusu C# zao la C++?