Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa majibu mazuri. Na ingekuwa Serikali haina hisa wasingeruhusiwa kama hapa kwetu au ikitokea serikali ikauza share zake zote itabidi mmiliki mpya abadili jina?Japo sijajua kama inaruhusiwa lakini kwa uelewa wangu KCB na Kenya Airways kuna hisa za serikali ya Kenya ndio maana zinatumia majina hayo. wa mfano hata Makao Makuu ya KCB hapa nchini yapo jengo la Harambee House ulipo ubalozi wa Kenya pia
Kwa maoni yangu nadhani wasingeruhusiwa.Kama serikali ikondoa hisa zake zote yawezekana wakatakiwa kubadili jina au kama KCB basi zikabaki initials tu bila kusomeka kwa kirefu chake kama ilivokua kwa CRDB sasa hivi ambapo haisomwi tena kama Cooperative and Rural Development Bank kama wakati ule ilipokua inamilikiwa na serikali. Baada ya serikali kuondoa/kuuza shares zake ikawa inajulikana tu kama CRDB BankNashukuru kwa majibu mazuri. Na ingekuwa Serikali haina hisa wasingeruhusiwa kama hapa kwetu au ikitokea serikali ikauza share zake zote itabidi mmiliki mpya abadili jina?
Naifahamu, ila sijaelewa msingi wa swali lako.hata brela sijui kama unaijua
Na ikiwa nyie pekee ndio wawakilishi wa kampuni fulani iliyo nje ya nchi, mfano mkajiita Tanzania Bajaji Distributors Haikubaliki hiyo pia?!Haiwezekani kwa mtu binafsi kutumia jina Tanzania kwenye biashara zake labda iwe ni kikundi cha watu na lazima jina liwe na muendelezo fulani haitaruhusiwa mjiite mfano Tanzania Company.
Lakini kuna kampuni naifahamu wanajiita Mkonge Tanzania LTD, hiyo inakuwaje sawa?!Hairuhusiwi kutumia jina, bendera wala nembo yoyote ya taifa katika jina la biashara yako
Lakini sidhani mbona DP bendera yao ni kama ile ya Tanganyika mpaka leo?Hairuhusiwi.
Nakumbuka kuna mwaka chama fulani cha siasa walikuwa wanajitahidi sana kuchanganya mambo zao na rangi za bendera walipigwa stop
Na sababu hasa ni nini?!Hairuhusiwi.
Nakumbuka kuna mwaka chama fulani cha siasa walikuwa wanajitahidi sana kuchanganya mambo zao na rangi za bendera walipigwa stop
Tanzania Investment Bank (TIB) unaijua?Nimeuliza kama inawezekana kutumia Jina Tanzania kwenye Biashara, Kwa mfano huwa naona Kenya Commarce Bank(KBC), Kenya Air Ways(KAW).
Kwa Tanzania hili linakubalika? Sio Ligi ni swali.
Hairuhusiwi kutumia jina, bendera wala nembo yoyote ya taifa katika jina la biashara yako
Lakini kuna kampuni naifahamu wanajiita Mkonge Tanzania LTD, hiyo inakuwaje sawa?!
Tanzania cigarette co. yenyewe vipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haitakubalika!... mtakua mnaua ushindani wa ndaniNa ikiwa nyie pekee ndio wawakilishi wa kampuni fulani iliyo nje ya nchi, mfano mkajiita Tanzania Bajaji Distributors Haikubaliki hiyo pia?!
Yani neno Tanzania linaua ushindani wa ndani?! Yani Tanzania haitakiwi kutumika au kutumiwa na kampuni binafsi popote pale?!Haitakubalika!... mtakua mnaua ushindani wa ndani