Kutumia silaha ya chakula huko Gaza baada ya kutofikia malengo ni tangazo la kusindwa vita kwa Israel

Kutumia silaha ya chakula huko Gaza baada ya kutofikia malengo ni tangazo la kusindwa vita kwa Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu.

Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi makubwa ya silaha na kuua na kuvunja majumba hakujasaidia kubadilisha mawazo ya Hamas na wenzao wa kipalestina.

Hatimae Israel imeamua kutumia silaha ya chakula kwa kuwanyima chakula adui baada ya kuwazingira kwa muda mrefu.

Hilo ni tangazo rasmi la kusindwa vita na haijawahi kutokea katika historia ya karibu.
 
Hakuna chochote Israel alichofanikiwa toka kuanza kwa vita,.Mateka kashindwa kuwapata na Hamas wameshindwa kuwamaliza.Zinabaki hasira tu za kuua kina mama na watoto.
Hamas kibao wanakufa...wanauliwa wanakufa ..tatizo walikua wengi mana walizaana kama kunguni kwaio kuua kizazi kilichokaa mda mrefu kikijipanga Hadi kujenga underground tunnels ..si jambo dogo ..unajua underground tunnels ngapi zimegunduliwa na kulipuliwa Hadi Sasa? Nenda katafute utastaajabu...hakuna jeshi linaua wamama na watoto ila kinachofanyika ni Hawa MASHAITWAN HAMAS wanawatumia akina mama na watoto kama Kinga wakijua jeshi litaona huruma na kuacha kulipua...wewe ukiona wamama ama watoto wanakufa jua kulikua na magaidi yamejificha hapo ..hivyo magaidi yanataka yafe na watu...waachie mateka ili vita viishe mana ni kilio Cha kila mwana GAZA wamewachoka hamas..yanauliwa ila Bado tu mengine yapo yapo...ona wanavyowatesa watu
images (7).jpeg
 
Duh! Kwani hatuwezi kutuma jeshi letu huko🤔?

Karibuni hapa kwa Mpare Bar tupate vyombo
 
Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu.

Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi makubwa ya silaha na kuua na kuvunja majumba hakujasaidia kubadilisha mawazo ya Hamas na wenzao wa kipalestina.

Hatimae Israel imeamua kutumia silaha ya chakula kwa kuwanyima chakula adui baada ya kuwazingira kwa muda mrefu.

Hilo ni tangazo rasmi la kusindwa vita na haijawahi kutokea katika historia ya karibu.

 
Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu.

Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi makubwa ya silaha na kuua na kuvunja majumba hakujasaidia kubadilisha mawazo ya Hamas na wenzao wa kipalestina.

Hatimae Israel imeamua kutumia silaha ya chakula kwa kuwanyima chakula adui baada ya kuwazingira kwa muda mrefu.

Hilo ni tangazo rasmi la kusindwa vita na haijawahi kutokea katika historia ya karibu.
Una chuki hadi unachapia kuandika Kusindwa ndio nini?

 
Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu.

Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi makubwa ya silaha na kuua na kuvunja majumba hakujasaidia kubadilisha mawazo ya Hamas na wenzao wa kipalestina.

Hatimae Israel imeamua kutumia silaha ya chakula kwa kuwanyima chakula adui baada ya kuwazingira kwa muda mrefu.

Hilo ni tangazo rasmi la kusindwa vita na haijawahi kutokea katika historia ya karibu.

1753720576482.png

1753720602720.png

1753720621150.png

1753720639477.png

1753720654342.png

1753720671138.png

1753720689702.png

1753720705803.png

1753720723041.png


HAMAS NI OMBA OMBA So wana mazoea job yani kula tu hamna hata dalili ya njaa, picha za watoto wamekondeana ni wale wagonjwa na waliondolewa kitambo kwenda kutibiwa Italy
 
Huyo ni Mgonjwa sio njaa, hata Tanzania Kwenu wapo wengi sana wagonjwa wa hivi, mnatafuta kuonewa huruma wakati mnatesa mateka wasio na hatia kwenye mahandaki, ujinga na upumbavu hautaweza kuficha dhambi zenu za kishenzi huku mkisaidiwa na Al jazeera, majuzi mtoto mmoja aliyekuwa akiumwa hivi waliweka picha yake eti njaa kumbe mtoto yupo italia akiuguzwa sikocell zake changamoto, na huyu n same siku chache utapata majibu yake, Israel ana record ya raia wote wa Gaza ndio maana anawaona nyie ni wapumbavu tu mtakula kichapo hadi muachie mateka na ardhi.. Allah mwenyewe ka mute.

'Starved' Gaza child suffers from genetic illness and is in Italy​

COGAT has confirmed that photos of a 'starved' Gaza child are fake news; child suffers unrelated genetic illness and was evacuated from Gaza to receive medical treatment in Italy.​

1753802537855.png

A photo of 5-year-old Osama al-Rakab has gone viral, used to falsely depict Israel as responsible for his condition, claiming Israel is starving children.

However, al-Rakab has not been starved by Israel, , the Coordinator of Government Activities in the Territories (COGAT) reported. In reality, al-Rakab suffers from a genetic illness unrelated to the war, which is responsible for his condition. And left Gaza with his mother and brother, and is now being treated in Italy.

"The Facts: Osama suffers from a serious genetic illness unrelated to the war," COGAT tweeted. "On June 12, we actively coordinated Osama's exit from Gaza with his mother and brother through the Ramon airport."

"He is now receiving treatment in Italy."
Yaaani huyo mgonjwa alisafirishwa kupitia uwanja wa Ndege wa Israel hadi Italy wazushi wana sema ana njaa huko Gaza hahahaha Watumwa wa Allah mna Shida

COGAT stressed: "Tragic images rightfully stir strong emotions, but when they’re misused to fuel hatred and lies, they do more harm than good. Don’t let compassion be exploited for propaganda. Check the facts before parroting blame."

Hamas wanaiba Msosi na kuuza walipane mishahara.

View: https://youtu.be/gyoNaDTfMzY


1753802104711.png
 
Watu wa enzi hizi tumekuwa tuko nyuma sana kuwaza kulinganisha na wale waliotutangulia kiasi kwamba tunashindwa kuona ukweli penye uongofu.

Kama tutawaza vizuri basi ni wazi tutaona kuwa matumizi makubwa ya silaha na kuua na kuvunja majumba hakujasaidia kubadilisha mawazo ya Hamas na wenzao wa kipalestina.

Hatimae Israel imeamua kutumia silaha ya chakula kwa kuwanyima chakula adui baada ya kuwazingira kwa muda mrefu.

Hilo ni tangazo rasmi la kusindwa vita na haijawahi kutokea katika historia ya karibu.
Hakuna tatizo la Njaa Gaza chakula Kingi mno. Mambo mengine ni Propaganda tu za Hamas kutaka huruma kutoka kwa watu!!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    15 MB
1753810337795.png


Propaganda zenu Qatar huyu mtoto anaumwa sio njaa. Kaka yake ni kijana wa afya tele na mama yake pia.. kusingizia afya ya binadamu kuwa ananjaa alafu wasingiziaji ni vibonge ni kukejeri dunia. Nakumbuka ule msemo Dunia hadaa,Binadamu Shujaa


View: https://x.com/Israel/status/1950129368602190189?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1950129368602190189%7Ctwgr%5E0bf98699151f1d666c23a90d19ba7c7318cbe04d%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.jpost.com%2Fisrael-news%2Farticle-862629
 
Kuteketeza mji haikuwa ndilo la lengo la awali la vita.Kuvunja mji ni hasira za kushindwa.
Lengo ilikuwa nini mkuu ,mm naona HAMAS imedhoofishwa sana! Walochobaki nacho ni spirit yakutokata tamaa! Au wewe unasemaje!?
 
Kwa ujuavyo wewe lengo la vita lilikuwa nini?
Sio nijuavyo mimi bali kwa tangazo la Netanyahu siku ya kuanza vita lengo ilikuwa ni kuokoa mateka wote na kuwarudisha nyumbani na kuwamaliza Hamas
 
Lengo ilikuwa nini mkuu ,mm naona HAMAS imedhoofishwa sana! Walochobaki nacho ni spirit yakutokata tamaa! Au wewe unasemaje!?
Kudhoofika sio kushindwa.
 
Back
Top Bottom