R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU
Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen.
KUPERUZI SIMU KWA GESTURE
Gesture imerahisisha sana kutumia simu,
ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back),
ukiswipe pale chini kidogo unaona apps zilizofunguka (recent)
ukiswipe pake chini kwenda juu chapchap unarudi mwanzo (home)
nashangaa kuona matumizi ya vitufe vitatu bado wapo wengi wanatumia, shida nini ?