Ni mazoea,
Wakati naanza kuitumia hii simu, nilikiwa nataumia hiyo gesture ya vitufe vitatu.
Kuna demu akashika simu yangu, akabadili gesture, nikairudisha ya vitufe vitatu.
Siku nyingine akabadili tena gesture, nikasema ngoja niache hiihii nione.
Hadi leo ni miaka mitatu sasa sijawahi tumia gesture ya vitufe vitatu kwenye simu yangu.