rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee hakuna kipimo kigumu cha utu Kama kupokea pesa kimakosaa... Wachache Sana hurudishaa pesa hizo kwa Muhusika
Mimi nakumbuka nilikuwa Nipo kwenye Mitihani ya mwisho ya chuo mwaka Jana hapo pesaa ya boom imekataaa hali ni mbayaa balaaa..sasa wakati nimeingia kwenye mtihani nkaacha simu kwenye Begi kurudi nakuta SMS ya mpesa ya pesa kutumwa na kurudishwaa aisee rohoo iliniuma Sana maana ilikuwa Kama 100000 hivii ilitumwa kimakosaa...sema ubay Jina la MTU aliekosea kutuma ile pesa lilikuwa la KAKA yangu mtoto wa baba mkubwa yani laiti Kama ningekuwa na simu pesa ilipoingia Ningeitoaa maana nlikuwa vibayaa mnoo..!!
Je wewe ilishawahi kukutokea suala Kama hili na ulifanya ini!???