KUTUMIWA PESA KIMAKOSA!

KUTUMIWA PESA KIMAKOSA!

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee hakuna kipimo kigumu cha utu Kama kupokea pesa kimakosaa... Wachache Sana hurudishaa pesa hizo kwa Muhusika

Mimi nakumbuka nilikuwa Nipo kwenye Mitihani ya mwisho ya chuo mwaka Jana hapo pesaa ya boom imekataaa hali ni mbayaa balaaa..sasa wakati nimeingia kwenye mtihani nkaacha simu kwenye Begi kurudi nakuta SMS ya mpesa ya pesa kutumwa na kurudishwaa aisee rohoo iliniuma Sana maana ilikuwa Kama 100000 hivii ilitumwa kimakosaa...sema ubay Jina la MTU aliekosea kutuma ile pesa lilikuwa la KAKA yangu mtoto wa baba mkubwa yani laiti Kama ningekuwa na simu pesa ilipoingia Ningeitoaa maana nlikuwa vibayaa mnoo..!!

Je wewe ilishawahi kukutokea suala Kama hili na ulifanya ini!???
 
Niliwahi kutuma kimakosa akanirudishia
 
Me nilikua na stress juzi nikamtumia mtu buku mbili pia kagoma kurudisha
 
Mimi niliwahi kutumiwa pesa (M-Pesa) kimakosa, nikaamua kuachana nayo kwa kuwa nilijua aliyetuma kakosea, baada ya saa kadhaa M-Pesa wenyewe wakainyofoa...
 
Mimi namba yangu hutumiwa pesa kimakosa mara nyingi sana ila siwezi kuthubutu kutoa kwa sababu:
1.Pesa sio yangu ni ya mtu mwingine.
2.Hujui pesa ilitumwa kwa lengo gani,pengine inatumwa ili kunusuru maisha ya mtu kwa kulipia malipo ya hospitali.n.k.
3.Lazima watanzania tuwe na hofu ya Mungu na kupendana kwa kujua hata wewe huwezi furahi kama utafanyiwa kitendo kama hicho.
 
Kweli kabisa asee.. hata mm naogopa sana. Ukitaka kuthibitisha hebu nitumie uone. Nakurudishia.
 
Mimi namba yangu hutumiwa pesa kimakosa mara nyingi sana ila siwezi kuthubutu kutoa kwa sababu:
1.Pesa sio yangu ni ya mtu mwingine.
2.Hujui pesa ilitumwa kwa lengo gani,pengine inatumwa ili kunusuru maisha ya mtu kwa kulipia malipo ya hospitali.n.k.
3.Lazima watanzania tuwe na hofu ya Mungu na kupendana kwa kujua hata wewe huwezi furahi kama utafanyiwa kitendo kama hicho.
Eti kimakosa mara nyingi, acha uongo
 
Acha unyonge wewe
 
Namba yangu ni unique hawakoseagi kwangu, ila wale wazee wa "ile pesa tuma kwenye hii namba"
Hapa ndio kama nyumbani kwao
 
Back
Top Bottom