REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Nyerere kafariki miaka zaidi ya 20 iliyopita ila kutokana na Nyerere day kuwa ni siku ya mapumziko Leo hii mwanafunzi wa darasa la tatu anajua Nyerere alikuwa nani, hii ni kutokana na Nyerere day tu kuwa siku ya mapumziko
Kwanini isiwe hivyo kwa Mkapa, ikawa hivyo kwa Magufuli lengo kutunza historia yenye kumbukumbu tosha kwa vizazi na vizazi
Nawasilisha.
Kwanini isiwe hivyo kwa Mkapa, ikawa hivyo kwa Magufuli lengo kutunza historia yenye kumbukumbu tosha kwa vizazi na vizazi
Nawasilisha.