Kutunza pesa huwa ina maana gani katika utamaduni wa kibongo?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi
sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia!

Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji unafanywa kwa strippers na wasanii wadogo wasiojiweza mitaani na barabarani.
 
Nilifikiri unamaanisha KUTUNZA kama savings,kumbe una maanisha KUTUZA kama tuzo. Huu utamaduni sijui umetoka wapi wala una maana gani.
 
Back
Top Bottom