Kutuweka Roho Juu wana Yanga SC kuwa anasajiliwa Mtu wa maana kumbe ni Mchovu Kibabage ni Kututukana wana Yanga SC

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?

Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa Hasira nitahamia rasmi Simba SC sawa?

Kazi ipo...!!
 
Nani mwenye group la yanga whsp nikawacheke huko
 
Sawa hata Mudathir ilikuwa hivyo hivyo. Uzuri JF huwaga haisahau tutarudi baada ya mechi tano kujua nani alisajili vizuri.Naliona Striker la USD 200k.

Screenshot_20230705_145422_Instagram.jpg
 
Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?

Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa Hasira nitahamia rasmi Simba SC sawa?

Kazi ipo...!!
genta kibabage sio mchovu bwana
 
Ulijuaje kama Kibabage ni mchovu? Utakuja uvikwe kanga na shanga kiunoni. Shauri yako.
 
nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?

😄😄😄

Mzee baba wakati wa pre season huwa unaungana na Mzee Mpili kuwaunga mkono Uto?
 
Yanga wanajua sana kusoma vipaji na jinsi ya kuvinoa; Simba wanaendeshwa na matokeo ya msimu mmoja bila kuangalia vipaji kwa manufaa ya mda mrefu. Ukiachilia Mzize ambaye siku za mwishoni alipungua pumzi kidogo, ila bado ana potential ya kurudi tena. Wengine wote ambao Yanga ilisajiri kutokea ndani wakiwa siyo mstaa sasa hivi ni wa kutisha sana: Baca, Mudathir, SureBoy, Bakari Nondo, Job, Kibwana na hata Nkane alikuwa anachepuka kwa kasi sana kabla ya kuumia. Wote hao pamoja na Mzize watakuwa tishio sana msimu ujao.
 
Back
Top Bottom