GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hapa kuna harufu ya upigajiSawa hata Mudathir ilikuwa hivyo hivyo. Uzuri JF huwaga haisahau tutarudi baada ya mechi tano kujua nani alisajili vizuri.Naliona Striker la USD 200k.
View attachment 2679265
genta kibabage sio mchovu bwanaNa GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa Hasira nitahamia rasmi Simba SC sawa?
Kazi ipo...!!
Ulijuaje kama Kibabage ni mchovu? Utakuja uvikwe kanga na shanga kiunoni. Shauri yako.Na GENTAMIYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tunamtaka haraka Fabrice Ngoma wa Al Hilal FC na asipotua Yanga SC Kwetu tunakuomba Uondoke Yanga SC au Mimi GENTAMIYCINE kwa Hasira nitahamia rasmi Simba SC sawa?
Kazi ipo...!!
nikiwa kama mwana Yanga SC hapa JamiiForums na hata nje ya JamiiForums nasema hii tabia iwe mwanzo na mwisho sawa?
Inasikitisha Sana.Kaka hapo ndio unajivunjia heshima yako we baki kuwa mtu wa simba