Lissu akikosa nafasi ya Mwenyekiti anakwenda kupotea kabisa katika ulimwengu wa siasa za Tanganyika.Je,
Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025?
Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena Oct.2025?
Kama mdau wa siasa za Tanzania, unapendekeza na kumshauri huyu muungwana aelekee chama gani cha siasa, ili kuendeleza azma na ndoto yake ya kutaka kujaribu kugombea urasi tena uchaguzi wa 2025?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Lowasa alikuwa makamu Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA mwaka 2015?
We mzee pakachatupu hebu jibu swali maana hoja yako imesawiri vigezo vya kugombea Urais 2025.Gentleman,
kwamba unamfananisha hayati Lowasa na Lisu dah!
unawafananisha kwa mdomo na makelele au?
yaani mjumbe wa kamati kuu ambae pia ni mjumbe wa mkutano mkuu taifa, unamfananisha na Lisu asie na nafasi yoyote chadema mpaka kufikia Oct 2025, kweli?🤣
Mtakuwa na Wenje haina shida😀Lissu akikosa nafasi ya Mwenyekiti anakwenda kupotea kabisa katika ulimwengu wa siasa za Tanganyika.
Gentleman,Mwanachama yeyote anaweza ugombea urais siyo lazima awe kiongozi.
nafurahi umeeleza vyema, na kukiri bayana, kwamba kwa mila utamaduni na desturi kwenye chaguzi nyingi Africa na Tanzania kwa ujumla,Urais kwa maoni yangu si lazima mgombea awe kiongozi wa chama,lakini kwasiasa zetu hasa za Tz,wanakuwa viongozi kwasababu tayari anakuwa anajulikana tofauti na kuja na mtu ambaye inawezekana ni competent lakini siyo maarufu
Lissu anawanyoosha vizuri sana mpaka hamlaliJe,
Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025?
Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena Oct.2025?
Kama mdau wa siasa za Tanzania, unapendekeza na kumshauri huyu muungwana aelekee chama gani cha siasa, ili kuendeleza azma na ndoto yake ya kutaka kujaribu kugombea urasi tena uchaguzi wa 2025?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Inaendana na merits za hoja yako?alikua mjumbe wa kamati kuu 🐒
Yaani ma CCM yanampambania Mbowe kuliko hata anavyojipambania mwenyewe. Na yanamwogopa Lissu kama yanavyoogopa uadilifu, haki na utawala wa sheria. Inashangaza sana!Lissu anawanyoosha vizuri sana mpaka hamlali
Gentleman,Hizi nyuzi za CHADEMA zinamiminika kwa kasi ya ajabu sana...yaani mama hana lake hatusikii tena mama mama mama🐼
Lissu akikosa nafasi ya Mwenyekiti anakwenda kupotea kabisa katika ulimwengu wa siasa za Tanganyik
Ndiyo anaweza potea kwenye siasa lakini kumbuka kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza, kwa uwezo wa Lissu popote atakapokuwa lazima tu atashang'ara tu. Na chadema wakimfukuza au wasipompa nafasi yeyote watashangazwa sana kwa kumpoteza mtu resources full kama huyo, yaani itakuwa ni kama wanataka chama kiongozwe na watu wakawaida sana. Na mi nilichokiona nadhani Mh Lissu ameona mdudu mengi ya siri na sasa anashindwa kuvumilia hizo sarakasiLissu akikosa nafasi ya Mwenyekiti anakwenda kupotea kabisa katika ulimwengu wa siasa za Tanganyika.
Umeshajibadilisha kutoka tlaatlaah na sasa unajiita Wadau.kwa faida ya wadau elezea kwa kina kifupi kidogo gentleman🐒