Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025

gentleman,
mimi nazungumzia mambo ya ndani ya vyama vyote vya siasa nchini kulingana na wakati muafaka..

na vyama vyote vinnihusu kwasababu ni mali ya umma, ruzuku ambayo ni kodi yangu na yako si wanapata? alaa!:pedroP:
Kuwakosoa ni jukumu letu,cozi tumewaajiri sisi kupitia kodi zetu..
 
gentleman,
mimi nazungumzia mambo ya ndani ya vyama vyote vya siasa nchini kulingana na wakati muafaka..

na vyama vyote vinnihusu kwasababu ni mali ya umma, ruzuku ambayo ni kodi yangu na yako si wanapata? alaa!:pedroP:
FAM anajua chadema ni mali binafsi (fanya kumkumbusha) tuachie wajumbe tumnyooshe.
Komaaa na mambo ya mama ya chadema pumzika au achana nayo
 
Kuachana na mambo ya chadema ni dhahiri kuwa tz ina mfumo wa chama kimoja sasa na si mfumo wa vyama vingi.🫵🫵
 
sasa mbona anataka chadema HQ ndio watoe footage za mikutano yao ya ndani eti wakijadiliana masuala ya rushwa,

ugumu uko wapi kwa yeye kuthibitisha kwamba hakupokea au alipokea mlungula anaodai kuletewa kwake?

this gentleman is confused and of course is completely not serious with corruption issues 🐒
Who is seriously? Samia,? Mbowe?😂😂
 
da5bbc86c9aca55e703327f5631a0db9_0.jpeg
 
Who is seriously? Samia,? Mbowe?😂😂
serious government with serious leaders like the one we have in power..

all corruption criminals are in jail and of course they belong to jail 🐒
 
FAM anajua chadema ni mali binafsi (fanya kumkumbusha) tuachie wajumbe tumnyooshe.
Komaaa na mambo ya mama ya chadema pumzika au achana nayo
ni wavivu pekeyake ndio huona ni vyema kupumzika, wakati wenye bidii na wachapakazi hodari tunaona kupumzika ni kupoteza muda..

wajumbe wamejipanga vizur sana,
na of course wenyeviti wa kanda zote 10 za kiutawala chadema, wale wa mikoa, wilaya na kata wamesimama vizur kwenye nafasi zao,

kwakweli,
kibaraka lazma arudishwe kwa mabwenyenye wanaowafadhili kwa fedheha sana 🐒
 
Je, Tundu Antipas Lisu atavumilia kubaki mtiifu na mvumilivu kuishi katika upweke wa kutokua na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chadema tunapoelekea uchaguzi mkuu Oct. 2025?

Au atavuka boda na kujiunga na chama kingine cha siasa kujaribu azma na ndoto yake ya kujaribu kugombea urasi tena Oct.2025?

Kama mdau wa siasa za Tanzania, unapendekeza na kumshauri huyu muungwana aelekee chama gani cha siasa, ili kuendeleza azma na ndoto yake ya kutaka kujaribu kugombea urasi tena uchaguzi wa 2025?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Asipogombea si ndio mwisho wa chadema, Mbowe hawezi shawishi wapiga kura jukwaani hapo ni Lissu then 2030 huko kuna Vyuma kama Heche/Mnyika vipewe.

Mbowe is not an orator, angepisha tu wachukue fomu watu wengi tupate mwenyekiti imara ambaye pia atapeperusha bendera mwakani
 
mwisho wa Chadema kivipi gentleman?

Ni rahisi sana,
kama muungwana hawezi kushawishi wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wampigie kura na kua mwenyekiti wa Chadema Taifa, then mtu huyo hawezi kufua dafu nje ya hapo. Ni useless tu...

hao akina heche, akina mnyika si ni watu wa Chadema? Kama wewe una nguvu na ushawishi kweli, si uwashawishi hao wakuunge mkono na wakutafutie wajumbe wengi zaidi wakuunge mkono,

Politics is all about numbers gentleman,

sio kubwekabweka tu ati sijui nani mitandaoni anasemwaje na jukwaani yukoje, au nasemwa vipi..

Jambo muhimu,
do you have numbers?
where are they?🐒
 
rahisi sana,
kama muungwana hawezi kushawishi wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wampigie kura na kua mwenyekiti wa Chadema Taifa, then mtu huyo hawezi kufua dafu nje ya hapo. Ni useless tu...
Hujitambui wewe mbona lowassa alikataliwa na kamati kuu ila wananchi wakampa kura mamilioni!! Same to CUF walimpa uenyekiti Lipumba ila wananchi walimkataa wakaenda na Seif ACT!! kwahiyo wananchi ndio wana matter sio wajumbe 1200
Politics is all about numbers gentleman
Lissu has numbers In chadema what are you talking about!! maybe not among the 1200s but at least most people in the party like him. Even Nyalandu won in the central committee but among general voters could Nyalandu overtake Lissu?

Huna akili kabisa ya kujua siasa ni zaidi ya wajumbe. Ndio maana CCM hata wajumbe wakikupa kura zote bado Kamati Kuu inapindua meza tuliona Kawe na kwingineko
 
sasa muerevu unaejitambua mbona umebaki na mihemko na makasiriko tu kichwani?🤣

relax bana,
eti kibaraka ana numbers within chadema 🤣
labda ana namba za simu tu

eti mwenye akili anamfananisha kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na wazalendo wa akina nyalandu na hayati Lowasa,

gentleman,
unafikiri sawa sawa kweli?🤣
 
relax bana,
eti kibaraka ana numbers within chadema 🤣
labda ana namba za simu tu
Fanya survey mitaani na mitandaoni ukimuweka Lissu na Mbowe it's obvious chadema wanampenda Lissu. Huyo Mbowe atafanya nini ambacho hajafanya miaka 20
 
eti mwenye akili anamfananisha kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na wazalendo wa akina nyalandu na hayati Lowasa,
Kibaraka kwa lipi? Hao kina Lowassa waliosaini mikataba ya kifisadi na Richmond ndio uzalendo? Au huyo Nyalandu aliyekua anatoa vitalu vya uwindaji kwa rushwa ndio mzalendo?

Yaani majitu yaliyosaini mikataba ndio unaita wazalendo alafu wapinzani ambao hawajawahi saini mikataba na mabeberu ndio unawaita vibaraka?

Una akili za ajabu sana
 
Nice reply 👌
 
Back
Top Bottom