Kuukosa umakamu mwenyekiti Chadema taifa maana yake ni kukosa fursa, sifa na kipaumbele cha nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema 2025


Mnalipwa bei gani kila Saa kuja kutupigia Kelele?
 
Yaani ma CCM yanampambania Mbowe kuliko hata anavyojipambania mwenyewe. Na yanamwogopa Lissu kama yanavyoogopa uadilifu, haki na utawala wa sheria. Inashangaza sana!
Gentleman,
ni wanachadema pekee ndio hawataki kuongozwa na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, vyama vingine havihusiki hata kidogo na uchaguzi wa ndani wa chadema.

Hata hivyo,
Gentleman,
ukipima vizuri, Lisu anaweza kumshinda mbowe kweli na hana hata numbers za wajumbe?🀣
 
Tusimsahau "mama" jana ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu Mgogoro wa Ardhi katika Hifadhi ya Ngorongoro lakini hakuna mtu mwenye muda wa kufanya uchambuzi.
 
Kwani katiba ya CHADEMA inasema Moja ya sharti la kugombea nafasi ya Urais ni kuwa makamu Mwenyekiti wa Chama?

Huwa mnakaa na kuwaza kwamba Kuna watu watauliza maswali kama haya? Au Huwa mnaandika Ili kupata replies na kupima uwezo wa watu kujua mambo? Kama jibu ni A basi mana kiwango Cha juu sana Cha upumbavu na ujinga. Na kama jibu ni B ni wazi kwamba hamjui kile ambacho mnataka katika taifa isipokua uchu wa madaraka!
 
Lissu anawanyoosha vizuri sana mpaka hamlali
nadhani Lisu mwenyewe ndie anaenyoroshwa vizuri sana, anakataliwa na wajumbe hadharani bana dah 🀣

kwenye uchaguzi wa chadema kanda ya kati, ambako ndiko anakotoka Lisu, mbele ya macho yake mgombea wake akaambulia kura 7, mbele ya Devota Minja alieshinda kwa kishindo right? ? dah 🀣
 
Lowassa alipogombea alikuwa kiongozi ndani ya Chadema? Kwa nafasi ipi? Huo ujumbe wa kamati kuu aliupata baada ya uchaguzi
 
Ulishajipima uwezo wa ujinga wa akili yako? Ungetulia na kuacha kuandika ujinga kama huu.
 
Kwani mtu anapoamua kugombea urais, kusudi lake kuu ni nini?.

Je, ni kutimiza ndoto yake au kugombea ili kutatua kero za wananchi ?
 
Gentleman,
mwanachama wa kawaida utapewa nafasi ya kuchukua fomu tu ili chama kipate mapato but hutapewa kipaumbele zaidi ya wagombea viongozi waandamizi waliopambana ndani ya chama na kushinda nafasi walizonazo...

Yaani eti wakupe hiyo fursa wewe ambae umeshindwa uchaguzi wa nafasi mbalimbali ndani ya chama? si maana yake hukubaliki ndani ya chama sasa?

nje ya chama utakua huuziki na ni ngumu kukunadi na kwahivyo utakatwa mara moja πŸ€£πŸ’
 
Ni lissu tu ndiyo kitisho cha ccm, mbowe hatakuwa na amshaamsha kwa wapiga kura wa kisasa. Nje na lissu mwenye uwezo wa kuitia presha ccm mama atashinda kiulaini hata kwa kura chache za wanaccm tu watakaoenda kumchagua mgombea wao
 
Ulishajipima uwezo wa ujinga wa akili yako? Ungetulia na kuacha kuandika ujinga kama huu.
relax gentleman plz plz,

hakuna haja ya makasiriko muerevu,

kua muungwana tu, this is politics plz..

wadau wanategemea wenye akili kuja na mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya iliyoko mezani na sio makasiriko na mihemko, right?

so calm down plz πŸ’
 
Mwamba Lissu nilikuwa namkubali sana ila huu upuuzi aloufanya kipindi hiki , hafai kuwa kiongozi. Kiongozi unatafuta huruma za wanachama kupitia kutoa madhaifu ya mwenyekiti wako!?. Na hashindi na uraisi atauskia kwenye Bomba. Labda akaanzishe chama chake.

Kuanzisha chama ndo njia pekee ya kuwa mwenyekiti, lakini kwa chadema siioni nafasi na kwasasa mbowe ataungwa mkono na CCM ili kumshinda Lissu, kwakua washatengeneza mpasuko ndani Yao na adui lazima atapita hapo hapo.
 
Ni lissu tu ndiyo kitisho cha ccm, mbowe hatakuwa na amshaamsha kwa wapiga kura wa kisasa. Nje na lissu mwenye uwezo wa kuitia presha ccm mama atashinda kiulaini hata kwa kura chache za wanaccm tu watakaoenda kumchagua mgombea wao
sasa huyo Lisu anakitisho gani gentleman?

na kwanini anatembea na tiketi ya ndege mfukoni?🀣

wajumbe wa mkutano mkuu kanda ya kati anakotoka walimkataa mgombea wake hadharani, hili unalizungumziaje gentleman?🀣
 
jamaa hapendi vikao halafu ni muoga mno kueleza mambo akiwa ameketi pamoja na viongozi waandamizi wa chama chake.

anapenda sifa za kushangiliwa.

hata hivyo mdomo na makelele yake vitamuumbua this time around, maana hakuna atakachoambulia πŸ’
 
jamaa hapendi vikao halafu ni muoga mno kueleza mambo akiwa ameketi pamoja na viongozi waandamizi wa chama chake.

anapenda sifa za kushangiliwa.

hata hivyo mdomo na makelele yake vitamuumbua this time around, maana hakuna atakachoambulia πŸ’
Amezingua msomi unafanya mambo kwa vitendo sasa wee mdomo tu. Na asiposhinda atakuja hadharani aseme ameibiwa kura.
 
Lowassa alipogombea alikuwa kiongozi ndani ya Chadema? Kwa nafasi ipi? Huo ujumbe wa kamati kuu aliupata baada ya uchaguzi
Ndiyo,
alikua kiongozi mwanadamizi wa kamati kuu tangu siku alipokabidhiwa kadi ya uanachama wa chadema na alihidhuria vikao vyote vya kamati kuu ya chadema tangu hapo πŸ’
 
Amezingua msomi unafanya mambo kwa vitendo sasa wee mdomo tu. Na asiposhinda atakuja hadharani aseme ameibiwa kura.
tayari ameshaanza kuweka masharti,
eti uchaguzi ukiwa huru na haki atakubali vinginevyo atafanya uamuzi mwingine..

hii ni exit strategy,
wewe kwenye chama chako mwenyewe unamuwekea masharti nani?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…