Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

jibu ni C.

Ahahaha Perry

Nyerere ndiye Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania sio Kawawa then 1962 akajiuzuru!

Kipindi hicho katiba yetu sawa tu na UK na Zimbabwe ambapo PM ndiye alikuwa kiongozi wa nchi!
 
Last edited by a moderator:
Kwa watu waliosoma coz za education udsm kunapaper moja toka SoED iliandikwa all answers are correct but choose the most corret answer hapo watu walikaa hahahaha
 
Kwel wote ni vilaza . Multiple choice ukitungiwa hapa udsm ni bora essay kuliko hivyo wewe! Kati ya 15 unapata mbili au tano juzi kat kuna paper la history kuna had 0 . Wewe nahisi haujui

mwambie huyo hajui tu multiple choice kama we ni mburula utaambulia moja ya ishirini ile kitu hapana aiseee Shikamoo multiple choice
 
Nchi yetu hata wanasiasa wanatoa majibu ya jumla ndio maana huwa inakuwa ngumu kuwabana wanapokosea lakini majibu yangekuwa mtindo wa mmultiple choice au true and false uongo usinge kwepo
 
blessings

Huwezi gues kitu usichokijua kamwe.

Pia multiple choice question huwa zina maksi kumi na si ishirini kama unavyodai. Kila kipengele kimoja kina 0.5 marks.

Hayo maswali yanaitwa objective questions na yanapima uwezo wa mwanafunzi katika kuelwa,na kutumia muda kwa usahihi. Pia maswali hayo ni magumu kuliko hata aiana nyingine ya maswli hapa UDSM.

Pia si kwamba mtihani mzima huwa una aina hii hii ya maswali huwa kuna aina zingine za maswali kama matching Iterms, na essay questios and true and false.

Nawasisha
 
Last edited by a moderator:
Ahahaha Perry

Nyerere ndiye Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania sio Kawawa then 1962 akajiuzuru!

Kipindi hicho katiba yetu sawa tu na UK na Zimbabwe ambapo PM ndiye alikuwa kiongozi wa nchi!

Hata wewe umekosa! Mwaka1962 hapakuwepo nchi yeyote ijulikanayo kama tanzania..mpaka ilipofika nwaka1964 ndipo muungano wa tanganyika na znz uliozaa nchi tz..sasa kusema PM wa 1 wa tz ni kawawa ni sahihi.ispokua PM wa kwanza wa tanganyika ni jkn.
Jibu langu bado ni E
 
Last edited by a moderator:
!
!
multiple choice questions zina nafasi yake katika upimaji wa uelewa, na upimaji unategemea sana na mkufunzi anataka kupima nini? mfano katika maswali ya aina hiyo yapo ambayo yanaelekeza to choose the MOST correct answer and write its letter in the space provided, ikimaanisha kwamba majibu yaliyotolewa kwa uchaguzi yote ni sahihi ila unatakiwa kuchagua lililo sahihi zaidi. Na hapa kama unabahatisha huchomoki.
Lakini pia maswali ya aina hii yanamjengea mtu uwezo wa kuchagua altenative moja kati ya nyingi zilizopo katika maisha halisi.
MCQ are relevant
 

Nikiwa kama Mwalimu nimeona vema ujue sifa za mtihani bora kwa mujibu wa CT 100 +CT 200 mojawapo ni kuwa na objective questions like multiple choice na subjective questions like essays so usiwe na shida katika hilo..
 

We umeona wapi multiple choice ya maths?? Je udsm wamesema hiyo pepa ilikua ni ya maths??

Huyo mama alipondwa kwa kuleta pepa ya maths ya multiple choice and not otherwise!!
 
Wadau nimeleta mada hapa ili kupata mawazo yenu ili nielewe kwa undani kiukweli nimeshtushwa na Mutiple Choice kuulizwa university tena mwaka wa 3 nikafikiria pengine kwa utaratibu tunazalisha mambumbumbu vyuoni asiyeweza kujenga hoja na kuitetea.

Mi naona kama unajibu lako vile!!! Mbona ushaeleweshwa hapo juu lakini huelewi? Je wewe unasoma chuo gani? Kama husomi chuo huwezi kuelewa!!
 
Dhumuni la mtihani ni kipima Knowledge, skills, understanding,wide attribute n.k na hayo yote yanapimwa kulingana na aina ya maswali....
 
blessings

Tatizo ni kwamba wewe huyawezi maswali ya MC. kwa sababu yanahitaji kufikiri sana ili upate jibu sahihi. Kumbuka zipo distracters 4 utawezeje kuu-geuss !
 
Last edited by a moderator:
Sioni ajabu, kwani hata vitengo nyeti pia vyenye uhitaji wa mtu mwenye uelewa au uwezo wa juu wa kufikiri hutumia MCQs.

Ni kipimo cha uelewa sawa na vingine tu-hakuna tofauti.

Urefu au ugumu wa swali hauna mantiki, isipokuwa maudhui ya swali na lengo la kipimo ndivyo vyenye tija.
 
Ili uweze kufaulu mtihani wenye mcq ni lazma usome between lines la sivyo mitihani ya mtindo huu ni migumu sana hasa pale inapotungwa na mwalimu makini
 
Mwalimu mzuri anawapima wanafunzi wake katika aspects kuu tatu ambazo ni:

1. Cognitive na hapa atampima mwanafunzi intellectual skills na uwezo wake. Atampima knowledge yake kuhusu topic au terms zilizokatika topic iliyofundishwa. Pia atampima ability yake ktk kuelewa wa materials yaliyofundishwa. Pia jinsi ya kuyatumia ktk real situation nje ya darasa, how anaweza ku analyse na kucombine uelewa wake wa mwanzo na kile kipya alichojifunza na mwisho ampime uwezo wake wa kufanya evaluation materials aliyojifunza.

2. Psychomotor na hapa hizo matching items zaingia,

3. Affection.
 
Multiple choice inapima usahihi wa uelewa wa mtu.

Kwa hiyo si jambo la ajabu kabisa maswali ya mitihani ya chuo kikuu kuwa ya multiple choice.

Kuna nchi ambazo vyuo vyake vikuu maswali mengi ya mitihani huwa ni ya mtindo huo.

inapima usahihi wa kuelewa au inapima usahihi wa ku choose?ungesema inapima usahihi wa ku guess ungeeleweka.
Usahihi wa kuelewa ni ule wa kumpa karati nyeupe na kalamu baada ya muda unakuja kuchukua karatasi yenye substance...hii format ni shule ya msingi...soorry kwa woote tuliopitia apa maana najua lazima tutetee uozo wetu...
 
Ili uweze kufaulu mtihani wenye mcq ni lazma usome between lines la sivyo mitihani ya mtindo huu ni migumu sana hasa pale inapotungwa na mwalimu makini

what if ukiamua kutosoma mtiahani kabisa ukaamua kuweka C tu na kati ya maswali ayo iyo c ikawemo, si tayari umepata?au pia kuguess ni kuelewa?
 
MCQs hayana tatizo kabisa. Nadhani ingekuwa ni njia rahisi basi watu wengi wangefaulu mitihani kama ya CISA; CIA; SAT na mingine mingi ambayo ina mfumo huo. Nadhani mtoa mada hajawahi kukutana na aptitude tests, anadhani MCQs zile za primary schools.

MCQ za primary na za sekondari na za chuo kikuu ni zile zile tu , choose A.B .C D , mtu wa Havard university akiandika C na wa shule ya msingi Tandaimba akiandika C woote wanawekewa vema kama swali lilikuwa najibu C. Haijalishi anajua context ya iyo C ni nini, kwa hiyo hata mtoto wa Tandahimba anaweza akakaa mezani na mtu wa chuo kikuu na wote wakawa busy wanachagua majibu ila mtu akipewa kutengeneza Iodine solution pale Muhimbili university na mtoto wa Tandahimba akazamia humo ,sana sana atabaki kutengeneza sumu au bomu kwa kuchanganya kemikali ovyo ovyo...Hizi MCQ ni za kitoto!
 
Kwa watu waliosoma coz za education udsm kunapaper moja toka SoED iliandikwa all answers are correct but choose the most corret answer hapo watu walikaa hahahaha

if all are correct then you are required to guess any answer which actually will match with the Scheme prepared,that is what actually the marker believes to be most correct although it can highly be attacked by philosophers! I believe if all are correct, then the most correct is subjective!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…