Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwel wote ni vilaza . Multiple choice ukitungiwa hapa udsm ni bora essay kuliko hivyo wewe! Kati ya 15 unapata mbili au tano juzi kat kuna paper la history kuna had 0 . Wewe nahisi haujui
Ahahaha Perry
Nyerere ndiye Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanzania sio Kawawa then 1962 akajiuzuru!
Kipindi hicho katiba yetu sawa tu na UK na Zimbabwe ambapo PM ndiye alikuwa kiongozi wa nchi!
Wadau salam! nimekutana
na karatasi ya Maswali ya Mtihani uliopita mwaka wa 3 (Final Year) pale
UDSM una maswali ya mltiple choice kama 20 hivi na kila swali lina
marks 1 so mtu akipata maswali yotehatkwa ku-guesstu ana marks20 tyri
kat 60 anaztakiwa kupata katika University Exam (UE) swali langu ni
kwamba wa level ya University tena Mwaka wa 3 anayepewa multiple choice
kweli tunaanda wataalamu wa aina gani?
Ningeshauri vyuo vikuu vibadili mtindo huu wa kutunga maswali (Multiple
Choice) maana unavutia (encourage)guessing bila kufikirisha akili ya
mwanafunzi. Najua hapa watakuja watu kuutetea ooh idadi ya anafunzi
wamekuwa wengi ndo maana lecturers wanatunga multiple choe questions ili
iwe rahisi kusahihisha but sababu hiyo tu haitoshi kuharibu wanachuo
hawa ambao baada ya kualiz hapo anaenda kupambanana wasomi wa Kenya,
Uganda, Afrika Kusini & dunia nzima
watu ni vigeugeu sana.Juzijuzi nyie wenyewe mlikua mnamlaumu na kumponda mama Ndalichako na NECTA kwamba kwa nini anawapa wanafunzi maswali ya MULTIPLE CHOICE leo kwa kua pepa ya aina hiyo wamepewa UDSM mnatetea! Tena sababu za kutetea ni zilezile walizokuwa wakitoa Necta. Ha huu unafki huu!
Wadau nimeleta mada hapa ili kupata mawazo yenu ili nielewe kwa undani kiukweli nimeshtushwa na Mutiple Choice kuulizwa university tena mwaka wa 3 nikafikiria pengine kwa utaratibu tunazalisha mambumbumbu vyuoni asiyeweza kujenga hoja na kuitetea.
Multiple choice inapima usahihi wa uelewa wa mtu.
Kwa hiyo si jambo la ajabu kabisa maswali ya mitihani ya chuo kikuu kuwa ya multiple choice.
Kuna nchi ambazo vyuo vyake vikuu maswali mengi ya mitihani huwa ni ya mtindo huo.
Ili uweze kufaulu mtihani wenye mcq ni lazma usome between lines la sivyo mitihani ya mtindo huu ni migumu sana hasa pale inapotungwa na mwalimu makini
MCQs hayana tatizo kabisa. Nadhani ingekuwa ni njia rahisi basi watu wengi wangefaulu mitihani kama ya CISA; CIA; SAT na mingine mingi ambayo ina mfumo huo. Nadhani mtoa mada hajawahi kukutana na aptitude tests, anadhani MCQs zile za primary schools.
Unaweza ukatungiwa paper ukashindwa kufanya
Kwa watu waliosoma coz za education udsm kunapaper moja toka SoED iliandikwa all answers are correct but choose the most corret answer hapo watu walikaa hahahaha