Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

Kama weni kibutu was kisoma subiri kudisco jamani endeleeni na moyo huohuo kama anataka hivyo ajenge chuo chake.
 
Umesoma kozi gani Chuo Kikuu? Laiti kama ungesoma na kuelewa kwa ufasaha kozi za Ualimu hata Psychology usinge undermine the power of MCQs. Hasa ukute imesukwa na Mwl, Mwalimu, sio vile vibitoz vilivyo anza stnd one mpaka Univst kwa kuunganisha kufacilitate vaste!
 
Nchi imebaki ya kila mtu mpiga mzinga!! Malecturers hawataki kusahihisha Booklet nyingi (mf wanafuzi 800 hadi 1500 kwa darasa 1, * 4 or 5 Qns=3200/6000 or 4000/7500 Qns). Hli ni somo moja 1 tu, je akiwa na madarasa 2? Sasa vyuo vya Governement kama UDOM na UDSM Multiple choice zimekuwa common kwa kigezo hiki na si visingizio vingine.
 
Usilete mchezo na maswali ya MC yani ni bora essy Qn unaweza pata hata difinitn
 
mkuu uwa nafurahi tunapojilinganisha na marekani, huwa nafurahi sana kwa kuwa mazingira, hali ya technolojia, uchumi na elimu na walimu viko sawa kabisa, inawezekana kuna kitu uwa tunalingana!

Huyo jamaa kaponda mitihani ya multiple choice na kudai kwamba haizalishi wasomi wa uweli. Ndo kilichonipelekea mimi kusema kuwa kama ni hivyo basi watu waliosomea Marekani wengi wao ni magumashi maana huko vyuo vikuu vingi sana hutumia hiyo format kwenye mitihani.

Na Marekani nadhani ni nchi inayopokea na kuelimisha international students wengi zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ile iliyoendelea. Kuna Watanzania wengi tu waliosomea na wanaosomea Marekani.

Kwa hiyo nilichofanya wala si kulinganisha. Nilichofanya ni kutoa mfano unaodhoofisha zaidi hoja (ambayo tayari ilikuwa hafifu) ya jamaa.

Au na wewe ni mwenye mtazamo kama wake?
 

Ahaaa sasa nimeelewa kwa nini hata hukuelewa nilichoandika na kukimbilia kuhitimisha kuwa nimelinganisha Marekani na Tanzania ilhali nilichofanya kiko mbali sana na ulinganishaji.

Case closed!!!
 
Usilete mchezo na maswali ya MC yani ni bora essy Qn unaweza pata hata difinitn
umeshawahi pewa multiple CHOICE NA UKAPATA NEGATIVE?YAANI UKIPATA MOJA UNAWEKEWA MBILI ,UKIKOSA UNAKOSA MBILI NA UNADAIWA MOJA,HAHA
 
.......Mtihani wa multiple choice siyo mrahisi kama mnavyofikilia.

Mimi nimefanya sana mitihani ya hivi, inachanganya sana. Kwa nchi kama USA
hadi mitihani ya bodi utakuta multiple choice, ila kimbembe chake usiseme.
 
lengo ni kujua kama mwanafunzi anafahamu na kutambua maana ya jibu sahihi.
 
mkuu Mi nadhani ingekuwa poa km ungeuliza logic behind ya kuweka maswali multiple choice na c kuanza kuyakandia huku ukionyesha huna utaalam nayo (huonekani km mwalim) so ingependeza zaidi
 
Usikurupuke.. Wanafunzi wanafanya research presentation,course work etc.
but jiulize wewe ukipewa huu mtihani utapata mia?
 

Nazidi kuamini kwamba hujawahi kukutana na the really MCQs. Sina sababu ya kuendelea kutoa hoja. Yaani unafananisha MCQs za chuo na primary!?
 
umeshawahi pewa multiple CHOICE NA UKAPATA NEGATIVE?YAANI UKIPATA MOJA UNAWEKEWA MBILI ,UKIKOSA UNAKOSA MBILI NA UNADAIWA MOJA,HAHA
IFM kuna mtu anaitwa Erick Mwambuli, usiombe kabisa akawatungia MC mtalia. kwanza ngoma ina A-E. af maswali anatoa ya Int.Finance ni nondo balaaa. Dah kumaliza chuo ni kumshukuru Mungu sana!
 
MCQ yanahitaji uweze fikikiria sana na ina discourage kukariri

tofauti na short answers au essay qns ambazo wanafunzi wana shusha notes kama zilivo kwenye handout

mcq
match item
short answer
essay qns
bado ni format nzuri tu kwa elimu yetu

Ni nzuri kwa level ya chuo kikuu kweli mkuu kidole007? Are you serious or just joking? Una-encourage guess work katika chuo kikuu? Sijakuelewa hakika!!!!
 

Tatizo ni kwamba hata wahadhiri wa siku hizi nao wengi wao ni makanjanja--hawana kitu mukichwa! Udhaifu wao wanauficha kwenye maswali ya mcq. Msishangae wahitimu wengi wa chuo kikuu kutoweza kuongea au kuandika kiingereza kwani hata walimu (wahadhiri) wao nao kiingereza kinawapiga chenga!! Juzi kati nilikutana na mwanasheria aliyehitimu hivi karibuni na kupata kazi kwenye shirika moja la umma (serikali) nikashangaa ilikuwaje akapata ile kazi na amepenyaje huko chuoni hadi akahitimu bila kukamatwa (ku-disco)---yaani ni mweupe kabisa--masuala madogo tu ya kisheria eti anamuuliza sekratari wake anamsaidia kwa kutumia uzoefu utu--ijapokuwa sekrtari wake sio lawyer. Kituko ni pale atakapoandika hoja ya kisheria kwa kiingereza--utatamani ulie--perfect tense anaweka future tense, present anaweka past perfect--nilishangaa sana, mpaka sikutamani tena kwenda kumuona anisaidie issue ya kisheria--ni afadhali niisimamie mimi mwenyewe--sasa kama kila kitu anamuuliza sektretari kuna umuhimu gani wa kumtegemea kanjanja kama huyu?

Huu ni mfano mmojawapo wa product ya maswali ya multiple choice yanayotolewa huko vyuoni. Nawashangaa sana watu mnaoshobokea mfumo huu huku mkijua fika kwamba unachangia 'kutotoa' wahitimu wasiokuwa na viwango vya kuridhisha na ambao uelewa wao ni mdogo kuliko mbegu ya hardali! Elimu yetu imechakachulika kutoka level ya chini--naona kansa hii inazidi kutafuna hadi kwenye level ya juu kabisa. Tumekwisha ndugu zangu!
 
Kwel wote ni vilaza . Multiple choice ukitungiwa hapa udsm ni bora essay kuliko hivyo wewe! Kati ya 15 unapata mbili au tano juzi kat kuna paper la history kuna had 0 . Wewe nahisi haujui

Tuwekee hiyo paper tuione sio unasema tu bila ushahidi. Iweke hapa sasa hivi tuone inavyofanana sio kila siku mnatetea ujinga tu nyie magamba!
 

Mkumbuke kwamba huu mfumo wa maswali ya bahati nasibu ndio uliowapeleka sekondari wanafunzi zaidi ya 5,000 waliohitimu shule za msingi mwaka 2012 huku wakiwa hawajui kusoma wala kuandika--wanachojua tu ni kuandika A, B, C na D!!!! Kwa hiyo, ni kweli kwamba maswali ya aina hii huchangia kudumaza akili na kuazalisha vilaza zaidi kuliko wasomi. Asiyekubali akatae lakini ukweli utabaki hivyo hivyo!
 
Ushauri: Mtu akishakunywa viroba vyake viwili vitatu hebu atulie kwanza kama nusu saa hivi afu aje apost hapa jf, huyu anafikiri hiyo ni format ya ud tuu, masters na phd huwa wanakuwa assessed hivyo hivyo tena nchi karibia zote, punguza pombe mkuu na urudi shule ukapige masters
 
IFM kuna mtu anaitwa Erick Mwambuli, usiombe kabisa akawatungia MC mtalia. kwanza ngoma ina A-E. af maswali anatoa ya Int.Finance ni nondo balaaa. Dah kumaliza chuo ni kumshukuru Mungu sana!

Kuna mwingine UDSM anaitwa Dr.Fransis. Ndio style yake. Balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…