Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi imebaki ya kila mtu mpiga mzinga!! Malecturers hawataki kusahihisha Booklet nyingi (mf wanafuzi 800 hadi 1500 kwa darasa 1, * 4 or 5 Qns=3200/6000 or 4000/7500 Qns). Hli ni somo moja 1 tu, je akiwa na madarasa 2? Sasa vyuo vya Governement kama UDOM na UDSM Multiple choice zimekuwa common kwa kigezo hiki na si visingizio vingine.Wadau salam! nimekutana na karatasi ya Maswali ya Mtihani uliopita mwaka wa 3 (Final Year) pale UDSM una maswali ya mltiple choice kama 20 hivi na kila swali lina marks 1 so mtu akipata maswali yotehatkwa ku-guesstu ana marks20 tyri kat 60 anaztakiwa kupata katika University Exam (UE) swali langu ni kwamba wa level ya University tena Mwaka wa 3 anayepewa multiple choice kweli tunaanda wataalamu wa aina gani?
Ningeshauri vyuo vikuu vibadili mtindo huu wa kutunga maswali (Multiple Choice) maana unavutia (encourage)guessing bila kufikirisha akili ya mwanafunzi. Najua hapa watakuja watu kuutetea ooh idadi ya anafunzi wamekuwa wengi ndo maana lecturers wanatunga multiple choe questions ili iwe rahisi kusahihisha but sababu hiyo tu haitoshi kuharibu wanachuo hawa ambao baada ya kualiz hapo anaenda kupambanana wasomi wa Kenya, Uganda, Afrika Kusini & dunia nzima
mkuu uwa nafurahi tunapojilinganisha na marekani, huwa nafurahi sana kwa kuwa mazingira, hali ya technolojia, uchumi na elimu na walimu viko sawa kabisa, inawezekana kuna kitu uwa tunalingana!
kwa maana iyo,sio woote waliopiga zero ni mburula , apo inadhiirisha kuwa kweli MCQ ni za kitoto, hazipimi uelewa zinapima kukariri na kipaji cha kubuni...kuna siku profesa mmoja pale udsm alituchekesha sana, anasema ukitaka professor afeli mtihani umpe majibu matatu ili achague moja, ataishia kutoa strengh na weakness ya kila jibu na ivo kuishia kutochagua jibu kama alivoambiwa,...apa nakumbuka mfano professor akiambiwa kipi kilianza kuku au yai, apa yeye atataka afanye mpaka risechi wakati mtoto wa darasa la sita ataweka jibu moja kati ya au kuku au yai.
umeshawahi pewa multiple CHOICE NA UKAPATA NEGATIVE?YAANI UKIPATA MOJA UNAWEKEWA MBILI ,UKIKOSA UNAKOSA MBILI NA UNADAIWA MOJA,HAHAUsilete mchezo na maswali ya MC yani ni bora essy Qn unaweza pata hata difinitn
lengo ni kujua kama mwanafunzi anafahamu na kutambua maana ya jibu sahihi.Wadau salam! nimekutana na karatasi ya Maswali ya Mtihani uliopita mwaka wa 3 (Final Year) pale UDSM una maswali ya mltiple choice kama 20 hivi na kila swali lina marks 1 so mtu akipata maswali yotehatkwa ku-guesstu ana marks20 tyri kat 60 anaztakiwa kupata katika University Exam (UE) swali langu ni kwamba wa level ya University tena Mwaka wa 3 anayepewa multiple choice kweli tunaanda wataalamu wa aina gani?
Ningeshauri vyuo vikuu vibadili mtindo huu wa kutunga maswali (Multiple Choice) maana unavutia (encourage)guessing bila kufikirisha akili ya mwanafunzi. Najua hapa watakuja watu kuutetea ooh idadi ya anafunzi wamekuwa wengi ndo maana lecturers wanatunga multiple choe questions ili iwe rahisi kusahihisha but sababu hiyo tu haitoshi kuharibu wanachuo hawa ambao baada ya kualiz hapo anaenda kupambanana wasomi wa Kenya, Uganda, Afrika Kusini & dunia nzima
Usikurupuke.. Wanafunzi wanafanya research presentation,course work etc.Wadau salam! nimekutana na karatasi ya Maswali ya Mtihani uliopita mwaka wa 3 (Final Year) pale UDSM una maswali ya mltiple choice kama 20 hivi na kila swali lina marks 1 so mtu akipata maswali yotehatkwa ku-guesstu ana marks20 tyri kat 60 anaztakiwa kupata katika University Exam (UE) swali langu ni kwamba wa level ya University tena Mwaka wa 3 anayepewa multiple choice kweli tunaanda wataalamu wa aina gani?
Ningeshauri vyuo vikuu vibadili mtindo huu wa kutunga maswali (Multiple Choice) maana unavutia (encourage)guessing bila kufikirisha akili ya mwanafunzi. Najua hapa watakuja watu kuutetea ooh idadi ya anafunzi wamekuwa wengi ndo maana lecturers wanatunga multiple choe questions ili iwe rahisi kusahihisha but sababu hiyo tu haitoshi kuharibu wanachuo hawa ambao baada ya kualiz hapo anaenda kupambanana wasomi wa Kenya, Uganda, Afrika Kusini & dunia nzima
MCQ za primary na za sekondari na za chuo kikuu ni zile zile tu , choose A.B .C D , mtu wa Havard university akiandika C na wa shule ya msingi Tandaimba akiandika C woote wanawekewa vema kama swali lilikuwa najibu C. Haijalishi anajua context ya iyo C ni nini, kwa hiyo hata mtoto wa Tandahimba anaweza akakaa mezani na mtu wa chuo kikuu na wote wakawa busy wanachagua majibu ila mtu akipewa kutengeneza Iodine solution pale Muhimbili university na mtoto wa Tandahimba akazamia humo ,sana sana atabaki kutengeneza sumu au bomu kwa kuchanganya kemikali ovyo ovyo...Hizi MCQ ni za kitoto!
IFM kuna mtu anaitwa Erick Mwambuli, usiombe kabisa akawatungia MC mtalia. kwanza ngoma ina A-E. af maswali anatoa ya Int.Finance ni nondo balaaa. Dah kumaliza chuo ni kumshukuru Mungu sana!umeshawahi pewa multiple CHOICE NA UKAPATA NEGATIVE?YAANI UKIPATA MOJA UNAWEKEWA MBILI ,UKIKOSA UNAKOSA MBILI NA UNADAIWA MOJA,HAHA
MCQ yanahitaji uweze fikikiria sana na ina discourage kukariri
tofauti na short answers au essay qns ambazo wanafunzi wana shusha notes kama zilivo kwenye handout
mcq
match item
short answer
essay qns
bado ni format nzuri tu kwa elimu yetu
Wadau salam! nimekutana na karatasi ya Maswali ya Mtihani uliopita mwaka wa 3 (Final Year) pale UDSM una maswali ya mltiple choice kama 20 hivi na kila swali lina marks 1 so mtu akipata maswali yotehatkwa ku-guesstu ana marks20 tyri kat 60 anaztakiwa kupata katika University Exam (UE) swali langu ni kwamba wa level ya University tena Mwaka wa 3 anayepewa multiple choice kweli tunaanda wataalamu wa aina gani?
Ningeshauri vyuo vikuu vibadili mtindo huu wa kutunga maswali (Multiple Choice) maana unavutia (encourage)guessing bila kufikirisha akili ya mwanafunzi. Najua hapa watakuja watu kuutetea ooh idadi ya anafunzi wamekuwa wengi ndo maana lecturers wanatunga multiple choe questions ili iwe rahisi kusahihisha but sababu hiyo tu haitoshi kuharibu wanachuo hawa ambao baada ya kualiz hapo anaenda kupambanana wasomi wa Kenya, Uganda, Afrika Kusini & dunia nzima
Kwel wote ni vilaza . Multiple choice ukitungiwa hapa udsm ni bora essay kuliko hivyo wewe! Kati ya 15 unapata mbili au tano juzi kat kuna paper la history kuna had 0 . Wewe nahisi haujui
Umeelezea vema ndugu, kwa kuongezea, maswali ya aina hii yana kanuni zake za kuyatunga, kanuzi zikifuatwa maswali haya huwa ni magum ajabu, pia maswali ya aina hii hugusa karibia kila sehem ya somo husika hivyo mwanafunzi anajaribiwa kwa upana sana kuliko ungetumia essay ambazo hugusa sehem ndogo tu ya somo.
Tatizo la maswali haya ni kwamba kuna wanafunzi tunawaita "test wise students" hawa kiukweli ni wataalam wa kuotea kwa hiyo mwanafunzi anaweza akafaulu bila hata kujua alicho jibu ni sawa au si sawa. Hili ni tatizo kubwa lakini ni mfumo mzuri maana anaejibu maswali haya lazima awe ameelewa somo na sio kukariri.
Kitu kingine, ulie leta maada, kama unatetea ubora wa elim, past papers unazikomalia za nn, hembu ziache na fanya mtihani tuone ubora wako.
kwani waliopnga ndo wanaotetea?
IFM kuna mtu anaitwa Erick Mwambuli, usiombe kabisa akawatungia MC mtalia. kwanza ngoma ina A-E. af maswali anatoa ya Int.Finance ni nondo balaaa. Dah kumaliza chuo ni kumshukuru Mungu sana!