Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

kwa hiyo mcq kwenye mtihani wa hesabu darasa LA 7 ni sahihi? mbona mfumo huo ulipondwa sana?.

nakumbuka nikiwa o level kuna jamaa alipiga maswali yote 15 ya mc kwenye paper ya chemistry baada ya watu kuomba m
saada atuelekeza kapaje maana kulikuwa na calculations jamaa hakuweza kufanya hivyo.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa Multiple Choice Questions kwa level ya University ni kuwafanya hawa wanachuo kutoka vyuoni wakiwa watupu haswaaa yaani unamkuta mtu ana mzinga wa GPA sijui 4.7 lakini hajui lolote unajiuliza alipataje hiyo FIRST CLASS kumbe ni kwa kupitia Multiple Choice Questions. Kwa namna hii tunaweza kuja kupambana na wasomi toka vyuo vikuu vya Afrika Mashariki, Africa na huko Duniani?
 

Hebu nisaidie unawezaje kupima knowledge...understanding...comprehension...synthesis...analysis...evaluation
 
Multiple choice huwa imesimama siku zote. Tena ukutane na mwalimu anaeelewa maana ya elimu na mtihani hapo lazima utumie masaa kujua jibu sahihi.
Essay mara nyingi mtu anakariri point afu anaenda andika kile anachoona ni sahihi.
 
It has its pros and cons. Lakini it is the most widely preferred system, so it should be the best.
 
how do u measure reliability, do u think MCQ can help students after graduation in any way? coz I see most of them when you invite for written interview they end up drawing CARTOONS instead of answering questions asked.
 
Mutiple Choice katika level ya University ni level ya chini wa kumtest mwanafunzi jamani je lecturers wanashindwa kutunga maswali ya Essay etc na si MCQ?

blessing, ualimu ni taaluma.Katika taaluma ya ualimu kuna miongozo ya nini ufundishe, njia bora za kufundishia na njia za upimaji wa mwanafunzi.

Katika upimaji wa mwanafunzi mtihani upo wa kuandika/nadharia na wa vitendo. Mtihani wa kuandika/nadharia hutumika zaidi.

Ili mtihani uitwe mtihani bora ni lazima uwe na sifa ya kujumuisha Objective Qns na Subjective Qns. OQns zinajumuisha multiple choice, true and false, matching items nk ilhali SQns ni muundo wa essay.

Huo muundo ni wa kisayansi na kila aina ya maswali ina kitu kinachotakiwa kupimwa kwa mwanafunzi.

Mtihani hautungwi kutokana na mwl anavyojisikia.

Tafakari...
 
measurement and evaluation duh!
 
Hebu nisaidie unawezaje kupima knowledge...understanding...comprehension...synthesis...analysis...evaluation

watu wanakurupuka tu hawajui kuwa multiple choice,matching items ni level ya kumpima mwanafunzi uelewa katika level ya understanding na knowledge level ya kwanza ktk bloom taxonomy
 
Basi hata hizo essay zingekuwa zinaangalia uwezo wa kufikri wa mwanafunzi, lakini sasa hivi lecturers wanataka ushushe kama ilivyo kwenye handout. Ni bora hata hizo MCQs mara mia!! Shame on them!!!

nenda hata harvad utakutana na multiple choic3 na true n false usikurupuke
 
Bora ukutane na essay kuliko mcq...udsm ni chuo kigumu sana ikifuatia na mzumbe,tia pamoja dit.
 
Shule itakuwa haina maana kama itashindwa kumsaidia mtu kukabiliana na changamoto mbalimbali katika maisha ya uhalisia.
Mitihani ya shule ni kiwakilishi tu cha changamoto hizo, hivyo maswali ni kama unapewa tatizo unaambiwa ulitafutie ufumbuzi wake.
niende moja kwa moja kujibu swali la tunapima nini?..

kinachopimwa ni uwezo wa mtahiniwa kuchagua optimim solution to a given problem. Maswali hayajamaanishwa uwekewe tiki upate maksi, noh. Ni kujengewa uwezo wa kutatua changamoto mbalimbali katika jamii kwa kutumia rasilimali ulizopewa.

Unavyosimamiwa usidanganye maana yake unajengewa uwezo wa kufanya kazi peke yako. Group assignment unajengewa uwezo wa kufanya kazi katika team. Individual assignment uwezo wa kufanya kazi yako kwa muda binafsi usioxidi deadline.

Zile test za kushtukiza ni kujengewa uwezo wa kudeal na kitu kilichoibuka out of no where. kwa hiyo shule haipo upate gpa tu au maswali upige maksi, hapana. Ni kuandaliwa kupambana.

Una swali lingine? elimu ni falsafa.
 
habar zenu wana jf,mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu! na wiki iliyopita lecturer alitoa test yenye maswali ishirini kumi true and false na mengine multiple choice, lakini asikwambie mtu majibu yanafanana balaa na bado kuna watu hawakuambulia hata kitu kimoja.co hoja c multiple choice bali ni wewe unaelewa niní! nawasilisha!
 
nenda hata harvad utakutana na multiple choic3 na true n false usikurupuke

Mbwa mzee kweli alishachoka hata uwezo wa kufikri ulishafikia kikomo!! Ni wapi nilipokataa kwamba multiple choice questions zisiulizwe? Usiwe una-quote post ambazo hazihusiani na jibu lako. Uliyepaswa kumwambia kwamba amekurupuka ni mleta mada siyo mimi mchangiaji! Unasikia mbwa wewe tena aliyezeeka!
 
mtoa hoja ukienda chuo chochote ata Harvard ukiona mitihani kama hiyo usikurupuke kwani huwa ina changamoto Sana.
 
Ukaguess maswali 20 ukapata? Tena usiombee mtihani wa chuo wa multiple choice, tatizo unafikiri multiple choice zile za form 2.
 
Mtoa post hajui UGUMU wa multiple choice yeye anawaza huko s/msingi wanakooneshwa majibu na kuhisi wamebahatisha,na ukitaka kuuliza ugumu wake uliza wana UDSM ambao walikuwa hawakutani na Mc qns watakupa mrejesho wa mtihani,Acha bwana muuliple choice unaweza kuomba maji kwenye mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…